Naomba kujua Mambo ya kuzingatia wakati wa kununua simu hasa Iphones.

NASRI1

Senior Member
Aug 2, 2019
188
266
Hope mu wazima wa afya weekend hii...

Lengo la huu uzi ni kutaka kaujua mambo ya muhimu ya kuzingatia wakati wa kununua simu has a iPhones kuanzia specifications, model,ubora wa betri na mengine ambayo sijataja.
Asante.
 
SOMO: Jinsi ya kutambua simu fake, mtumba, refublished, wizi na Matapeli
 
Asante sana mkuu
 
Hope mu wazima wa afya weekend hii...

Lengo la huu uzi ni kutaka kaujua mambo ya muhimu ya kuzingatia wakati wa kununua simu has a iPhones kuanzia specifications, model,ubora wa betri na mengine ambayo sijataja.
Asante.
angalia kama ina battery
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom