Naomba kujua mahali pa kupata kaspersky antivirus kwa ajili ya biashara

Sangoma

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
320
250
Wadau habari za majukumu kwa muda mrefu?

Nimekuwa napata changamoto sijui wenzangu mmewezaje kupata hii kaspersky antivirus kwa ajiri ya biashara nikiangalia bei za mtandaoni naona ya pc 10 ni $280 nikija mtaani kuna watu wanauza cd ya pc1 hadi pc3 kwa 30,000/= ya mwaka mzima.

Nashindwa kujua wao wanafanyaje ili kupata faida msaada na hitaji hii huduma ya kaspersky antivirus kwa ajili ya biashara sihitaji cracked nahitaji connection wa hili jambo maana ni changamoto kwenye huduma zangu.

Kaspersky-TOTAL-Security-for-Business.png
 
Ethical Ninja CEH Snr

JF-Expert Member
Nov 3, 2019
346
1,000
Wadau habari za majukumu kwa muda mrefu nimekuwa napata changamoto sijui wenzangu mmewezaje kupata hii kaspersky antivirus kwa ajiri ya biashara nikiangalia bei za mtandaoni naona ya pc 10 ni $280 nikija mtaani kuna watu wanauza cd ya pc1 hadi pc3 kwa 30,000/= ya mwaka mzima nashindwa kujua wao wanafanyaje ili kupata faida msaada na hitaji hii huduma ya kaspersky antivirus kwa ajili ya biashara sihitaji cracked nahitaji connection wa hili jambo maana ni changamoto kwenye huduma zangu.
Inategemea mahitaji yako na level ya security unayotaka. Wana Security cloud, Internet Security, Anti - Virus, na wana Total Security. Ant - Virus bei huwa ipo chini.. ila hizo zingine bei ipo juu.. ukitaka OG nunua kupitia web yao wenyewe
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,821
2,000
Wadau habari za majukumu kwa muda mrefu nimekuwa napata changamoto sijui wenzangu mmewezaje kupata hii kaspersky antivirus kwa ajiri ya biashara nikiangalia bei za mtandaoni naona ya pc 10 ni $280 nikija mtaani kuna watu wanauza cd ya pc1 hadi pc3 kwa 30,000/= ya mwaka mzima nashindwa kujua wao wanafanyaje ili kupata faida msaada na hitaji hii huduma ya kaspersky antivirus kwa ajili ya biashara sihitaji cracked nahitaji connection wa hili jambo maana ni changamoto kwenye huduma zangu.
Si kila kitu kilichopo kwenye cd ni og, hata mimi naweza download kaspersky torrent na kuburn kwenye cd nikauza.

Taarifa sahihi ni za kwenye website yao tu.
 
Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
1,203
2,000
Kaspersky Anti-Virus ndio bei chee, zipo za aina tofauti-tofauti so bei zake pia ni tofauti, Kaspersky Total Security ndio unapata features zote.
Kaspersky Anti-Virus.jpg
 
Ngosi

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
341
250
Hizi Kaspersky tunazonunua huku Tanzania ni maalumu kwa Africa tu, kwa maana last year kuna mtu yupo QATAR alinunua CD kule yenye 2 user akainstall na baadae akanitumia keys nami niweke ikakataa kwa kudai ile ni maalumu kwa UAE tu na sio Africa
 
dickchiller

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,331
2,000
Si kila kitu kilichopo kwenye cd ni og, hata mimi naweza download kaspersky torrent na kuburn kwenye cd nikauza.

Taarifa sahihi ni za kwenye website yao tu.
Na activation key ukapata. Maana hili kufanya activation lazima uwe online

kitochi
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,821
2,000
Na activation key ukapata. Maana hili kufanya activation lazima uwe online

kitochi
Ndio mkuu zipo key za magumashi nazo zinauzwa sema bei chee. Mfano ukienda ebay unazipata hadi dola 5 na kuna machimbo forums mbalimbali unazipata rahisi zaidi. Kifupi vitu vyote maarufu windows, office, netflix, etc vina keys za bei nafuu chini ya dola 5.
 
Sangoma

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
320
250
Ndio mkuu zipo key za magumashi nazo zinauzwa sema bei chee. Mfano ukienda ebay unazipata hadi dola 5 na kuna machimbo forums mbalimbali unazipata rahisi zaidi. Kifupi vitu vyote maarufu windows, office, netflix, etc vina keys za bei nafuu chini ya dola 5.
Sawa nipe site naonaga group telegram ila nikiziweka zinazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,821
2,000
Sawa nipe site naonaga group telegram ila nikiziweka zinazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
$2.5 kaspersky
https://www.mpgh.net/forum/showthread.php?t=1485712

Kwenye hawa jamaa kuna
1. Crack account ambayo ina warranty mfano unaweza nunua warranty ya mwaka ikizingua ndani ya mwaka anakubadilishia.

2. Genuine account shared, account moja iliokuwa inauzwa bei ghali gharama zake zimegawanywa kwa watu wengi.

3. Genuine account ambayo unaweza hata wewe ukashare na wenzako etc.

Hivyo unapochat nae vyema ufahamu aina ya account/key unayopewa.
 
Asante sana mkuu ndo raha ya kuuliza acha niwatembelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom