Naomba kujua.madharaa ya dozi yaCEFTRIASONE INJECTION. Na je yanadumu kwa muda gan?

Scorpa

Member
Jun 23, 2019
55
24
Toka nimemaliza dozi ya CEFTRIASONE INJECTION(5).

Yapita siku 5 ila nimekuwa nikipatwa na matatizo Kama.
1. Kuwashwa mwili hasa sehemu za tumboni na mapajani
2.Maumivu ya misuli na kuishi a nguvu kwenye joint hasa upande w kushoto kwenye goti, mabega na kiwiko.
3. Kuhisi vitu kuchomachoma mwilini.
......
 
Kula kwa kushiba kweli na kula lakini kula vizuri kwa maana ya mlo kamili kwakweli hapana
 
Toka nimemaliza dozi ya CEFTRIASONE INJECTION(5).

Yapita siku 5 ila nimekuwa nikipatwa na matatizo Kama.
1. Kuwashwa mwili hasa sehemu za tumboni na mapajani
2.Maumivu ya misuli na kuishi a nguvu kwenye joint hasa upande w kushoto kwenye goti, mabega na kiwiko.
3. Kuhisi vitu kuchomachoma mwilini.
......
Common side effects
of Ceftriaxone include:
-rash,
-diarrhea,
-nausea,
-vomiting ,
-upset stomach,
-blood clots,
-dizziness,
-headache,
-pain or swelling in your tongue,
-a lump where the medicine was injected,
-sweating,
-vaginal itching or discharge,
-vaginal yeast infection ,
-anemia ,
-changes in taste, or
-flushing.
 
Back
Top Bottom