Naomba kujua, Kwenda Law School na Internship ni lazima ili kupata Ajira?

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
785
3,220
Jambo hili tumebishana sana na watu hapa, Je ili kuwa mwanasheria kamili lazima uende law school?

Je kwa kada kama madactari, nesi, famasi je kwenda internship ni lazima?

Namaanisha je hawezi kuajiliwa bila kwenda law school au internship? Kama ni kweli je vip kwa wale wa diploma?
 
Kuajiriwa wapi? Kila taasisi ina taratibu na miongozo yake. Kwa upande wa madaktari wana taratibu ngumu kidogo za kufikia kuruhusiwa kufanya utabibu, nadhani ni lazima kwao.
 
Jambo hili tumebishana sana na watu hapa, Je ili kuwa mwanasheria kamili lazima uende law school?

Je kwa kada kama madactari, nesi, famasi je kwenda internship ni lazima?

Namaanisha je hawezi kuajiliwa bila kwenda law school au internship? Kama ni kweli je vip kwa wale wa diploma?
Kwa serikalini lazima upite Law School na taasisi nyingi za binafsi pia hivyo hivyo!
 
Labda nikuulize swali kidogo.... "Mwanasheria kamili" kwako ni yupi?

Tufanye huyu mwanasheria kamili unaye maanisha ni Wakili (Advocate).

Sasa, Mwanasheria ni mtu yeyote aliyesomea sheria kwa ngazi yeyote kuanzia Diploma hadi Phd.

Ila Wakili ni Mwanasheria aliyesajiliwa kama wakili baada ya kupita na kufaulu Shule ya Sheria ya Tanzania(Law School of Tanzania).

FAIDA ZA KUSAJILIWA KAMA WAKILI
1. Ana uwezo wa kumtetea na kumuwakilisha mtu yeyote mahakamani.
2. Anaweza kuthibisha au kulisha viapo maana anasifa ya kuwa kamishna wa viapo.
3. Ni rahisi kuteuliwa kuwa Hakimu au Jaji; Maana moja ya sifa ya kuteuliwa katika nyazifa hizo ni lazima uwe wakili walau au zaidi ya Miaka Kumi.

AJIRA ZA MWANASHERIA(SIO WAKILI)
1. Legal Officer
2. Human Resource Management
3. Legal Analyst/Researcher.

KUHUSU INTERN
- Kwa Law School of Tanzania; Ni Lazima
-Kwa ngazi ya Undergraduate inategemeana na Chuo
eg. Mzumbe ni Lazima
. Udsm sio Lazima
-Kwenye ajira; Wanahitaji watu wenye experience, so kama ni lazima tu.

My Take.
Law ni Practice.

So, PRACTICE. PRACTICE. PRACTICE.
 
Wakili anayedhani mwanasheria hawezi kuajiriwa (serikalini na binafsi) bila kusoma Law School.!

Ukiitwa mpumbavu uwe unashukuru.
Yaani wewe inaonekans kweli kichwa kimejaa maji ya sabuni huwezi kuwa wakili bill kupitia law school serikali inawaajiri mawakili kwaajiili ya kuiwakilisha mahakamani na ili uwe wakili lazima upite law school.
 
Jambo hili tumebishana sana na watu hapa, Je ili kuwa mwanasheria kamili lazima uende law school?

Je kwa kada kama madactari, nesi, famasi je kwenda internship ni lazima?

Namaanisha je hawezi kuajiliwa bila kwenda law school au internship? Kama ni kweli je vip kwa wale wa diploma?
Kwa kada ya afya apo ni lazima kwenda internship, uwezi kupata full registartion certificate na leseni ya kupractice bila kua na cheti cha internship, pia popote unapoapply lazima wanataka aumbatanishe cheti cha internship ila apo nazungumzia kwa degree level.
 
Yaani wewe inaonekans kweli kichwa kimejaa maji ya sabuni huwezi kuwa wakili bill kupitia law school serikali inawaajiri mawakili kwaajiili ya kuiwakilisha mahakamani na ili uwe wakili lazima upite law school.
Wewe pia ni mpumbavu kama huyo mwenzako, ni kweli ili uwe Wakili ni lazima usome na kufaulu Law School….. ila sio kwamba serikali inaajiri mawakili tu.

Unaweza kusoma sheria ngazi ya cheti au diploma au shahada na ukaajiriwa kama mwanasheria [hakimu] kwa mahakama za chini bila kusoma shule ya sheria.

Kuna kitu huelewi na hujui kama huelewi, serikali haiajiri mawakili pekee eti ili kuiwakilisha….. aaah!!!
 
Kuna kitu huelewi na hujui kama huelewi.
Dipolma na certificate sio wanasheria ni paralegal. Kuwa mwanasheria lazima uwe na degree.
 
Wewe pia ni mpumbavu kama huyo mwenzako, ni kweli ili uwe Wakili ni lazima usome na kufaulu Law School….. ila sio kwamba serikali inaajiri mawakili tu.

Unaweza kusoma sheria ngazi ya cheti au diploma au shahada na ukaajiriwa kama mwanasheria [hakimu] kwa mahakama za chini bila kusoma shule ya sheria.

Kuna kitu huelewi na hujui kama huelewi, serikali haiajiri mawakili pekee eti ili kuiwakilisha….. aaah!!!
Wewe ndio upambavu wenyewe. You and foolish are one and of the same nature.
 
Wewe pia ni mpumbavu kama huyo mwenzako, ni kweli ili uwe Wakili ni lazima usome na kufaulu Law School….. ila sio kwamba serikali inaajiri mawakili tu.

Unaweza kusoma sheria ngazi ya cheti au diploma au shahada na ukaajiriwa kama mwanasheria [hakimu] kwa mahakama za chini bila kusoma shule ya sheria.

Kuna kitu huelewi na hujui kama huelewi, serikali haiajiri mawakili pekee eti ili kuiwakilisha….. aaah!!!
Mkuu wewe ni mbishi na hautaki kujifunza, tabia hiyo wanayo watu wengi wanaoamini wanajua kila kitu
Huwezi kuwa Hakimu mahakama yoyote ile bila kufaulu Law school.
 
Back
Top Bottom