Naomba kujua kutoka kwa mtu anayejua usafiri wa Dodoma to Bagamoyo

Mkuu ipo gari ya bagamoyo -dodoma kila siku kama sikosei nauli yake ni 17000 kama siyo 18000 siyo basi kubwa.inapita chalinze kama haijajaza lakini huwa inakatisha msoga...kama huna haraka ni nzuri maana dodoma inafika kwenye sa kumi...uzuri ni kwamba gari ni ya uhakika my siblings wametumia several times kwenda home
Asante sn.
 
Daradara ndio kitu gani mkuu?
Public transport,, nenda rudi,,,kwa kenya ,,wanauita ,matatu,,,,,aina ya gari zinazofanya route hizi Mara nyingi ,, ni coaster,hiace .nk,,na nauri zake huwa ni ndogo,,b/ cause they just work within the same area of town..
 
Hakuna basi la moja kwa moja toka Dodoma mpaka Bagamoyo....Panda basi shukia Ubungo(DSM) uliza kituo kinaitwa Mawasiliano, ingia mule ndani ulizia daladala zinazokwenda Tegeta, usishuke kituo chochote mpaka mwisho(Tegeta) nauli ni 800 kama sijakosea, then mule ndani Tegeta utakuta Coaster za Bagamoyo nyingi sana, jichagulie ingia, nauli ni Tsh.1800/=
Basi linalotoka Dodoma to Bagamoyo lipo
 
Hakuna basi la moja kwa moja toka Dodoma mpaka Bagamoyo....Panda basi shukia Ubungo(DSM) uliza kituo kinaitwa Mawasiliano, ingia mule ndani ulizia daladala zinazokwenda Tegeta, usishuke kituo chochote mpaka mwisho(Tegeta) nauli ni 800 kama sijakosea, then mule ndani Tegeta utakuta Coaster za Bagamoyo nyingi sana, jichagulie ingia, nauli ni Tsh.1800/=
Basi linalotoka Dodoma to Bagamoyo lipo
Mkuu ipo gari ya bagamoyo -dodoma kila siku kama sikosei nauli yake ni 17000 kama siyo 18000 siyo basi kubwa.inapita chalinze kama haijajaza lakini huwa inakatisha msoga...kama huna haraka ni nzuri maana dodoma inafika kwenye sa kumi...uzuri ni kwamba gari ni ya uhakika my siblings wametumia several times kwenda home
Na ofisi zao kwa Dodoma zipo Wajenzi pale zilipo ofisi za FIRST CHOICE
 
Basi la dodoma- bagamoyo lipo Ila kama Una haraka zako usipande chukua bus from dodoma shuka chalinze au mlandiz!.. Utafika kwa wakat.

Faida za gar la kutoka bagamoy mpka dodoma ni moja tu naul ndogo utatoa elfu 17 Tu.. Na hakuna kushuka shuka.. Ila hasara zake kwenye muda!.. utakaa sana njian.. Ni zile EICHER so sometimes inakua kama daladala!.. Hapa na hapa wamesimama!.. Bado trafic hawajawasimamisha..

Utapanda na kuku umo ndani na vikolokolo kibao binafs nishawai!. Kuutumia uo Usafil from Dom- bagamoy ila sitakuja kupnda tena bora nipande nusu nusu.. Nichukue bus from Dom mpk chalinze nafika on time.. Chalinze nachkua!.. Coaster mpka bagamoy
 
Utapanda na kuku umo ndani na vikolokolo kibao binafs nishawai!. Kuutumia uo Usafil from Dom- bagamoy ila sitakuja kupnda tena bora nipande nusu nusu.. Nichukue bus from Dom mpk chalinze nafika on time.. Chalinze nachkua!.. Coaster mpka asa
 
Basi la dodoma- bagamoyo lipo Ila kama Una haraka zako usipande chukua bus from dodoma shuka chalinze au mlandiz!.. Utafika kwa wakat.

Faida za gar la kutoka bagamoy mpka dodoma ni moja tu naul ndogo utatoa elfu 17 Tu.. Na hakuna kushuka shuka.. Ila hasara zake kwenye muda!.. utakaa sana njian.. Ni zile EICHER so sometimes inakua kama daladala!.. Hapa na hapa wamesimama!.. Bado trafic hawajawasimamisha..

Utapanda na kuku umo ndani na vikolokolo kibao binafs nishawai!. Kuutumia uo Usafil from Dom- bagamoy ila sitakuja kupnda tena bora nipande nusu nusu.. Nichukue bus from Dom mpk chalinze nafika on time.. Chalinze nachkua!.. Coaster mpka bagamoy
Kwa kutokea Dodoma ,,ipi? Inaanza chalinze au mlandizi,,na ni wapi? Patakuwa na unafuu wa nauli ,,means , fr chalinze to Bagamoyo, au mlandizi?to Bagamoyo,,,,,kwa vyovyote vile nadhani anayetoka Dodoma to chalinze/mlandizi ,,nauli yake inalingana ,,na wa Dom to Dar,,,nikimanisha ,,,popote ambapo nitashukia ,,,nitakuwa ndani ya nauli yangu niliyolipa ,,pindi natokea Dom.. Asante.
 
Mimi ni mkazi wa bagamoyo .

Gari ya Dom Bagamoyo ipo (ila usipande, utajutaaaaa)

Panda gari la DAR shukia MLANDIZI (ila panda la mapema)

Ukifika mlandizi pale unakula daladala mpaka bagamoyo ni 2000/=

Ukipanda la moja kwa moja utapambana na foleni , ukishuka mbezi tena utafute gari mpaka mbezi massana, tena utapanda la kwenda tegeta nyuki, hapi ndio unapata la bagamoyo. (Mzunguko mrefu)
Karibu sana huku kwetu
🙏😃
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom