Uraia wa Marekani na Tanzania kwa pamoja

Rog chimera

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
341
542
Salaam wakuu, nauliza wenye uzoefu itakuaje kama aliyekuwa raia wa Tanzania akipata uraia wa Marekani ilihali Tanzania hairuhusu kuwa na uraia wa nchi mbili?

Je Mtanzania huyu akirudi Tanzania na passport ya Marekani atalazimika kuwa na Visa ya Tanzania?
 
Ukishakuwa raia wa marekani inamaana umeukana uraia wa Tanzania ukija Tanzania unaomba visa kwenye ubalozi wa Tanzania marekani kama raia Yeyote wa nchi nyingine
 
Uingereza wanakubali lakini Tanzania hawakubali duo nationality hivyo ukichua ya UK automatically sio mtanzania tena. Zambia wanakubali duo so u can Be Zambian and British at the same time.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nchi chache zinazo kubali duo citizenship hapa Africa Nigeria S. A Zambia Somalia nk. ila Africa mashariki hata Kenya kiongozi wa demokurasia katika nchi za pembe ya Africa bado hajaruhusu duo citizenship.....sababu kuu ni uoga wa upizani wa kisiasa tu hawana hoja ya maana

Kenya wameruhusu dual citizenship tangu 2011.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom