Naomba kujua kuhusu upataji wa ajira ya udereva

CHRISSIE255

JF-Expert Member
Jan 21, 2020
221
178
Samahan wadau naomba kuuliza hivi ili ukitaka kupata ajira kama dereva wa tours ni lazima uwe umekidhi vigezo vipi? Na je ni vyuo gani vinafundisha course zao au ni hivi hivi vya driving kama VETA?

Naomben msaada wenu wadau mwenye kuelewa.


Mmbarikiwe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom