Naomba kujua kuhusu ufugaji wa farasi

Salam wakuu,
Habari za jioni? Kama kichwa kiavyojieleza hapo, ningependa kufahamu kwa kina kuhusu ufugaji wa farasi, changamoto zake, upatikanaji na breed iliyo bora
 
hawafugwi kibiashara ili uwauze unawafuga wakikua unakuwa unawakodisha kwa wanamichezo au watu kuchezea + kupiga picha ,kwa kifupi ni biashara ya madoni ya pembeni ,mfano wenye mahotel makubwa ila sio wewe una mil chini ya mia unataka hii utafeli ,fuga zako mbuzi au nguruwe miaka 2 unakuwa level mbali kabisa
 
Hapa kiluvya madukani njia ya kwenda kisarawe baada tu ya line kubwa ya umeme Kuna mzee anafuga hao farasi na pia anafuga mifugo mingine na kwa kumwangalia ana uwezo wa kawaida tu ila anafuga na Ni mtu social maana nilishawahi kuongea naye kuhusu majani flani ameotesha na akanipa ufafanuzi tu mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipita hapo naelekea kwa mbunge aisee nimeona hayo majani na hao farasi mkuu walinivutia sio siri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom