Naomba kujua Kuhusu suzuki vitara

Kinga kingdom

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
769
845
Jaman kuna mtu anataka kuniuzia suzuki,sasa sijui mapungufu ya Gari hii kwa wajuzi wa magari mnisaidie...

Je yafaaa kwa safari ndefu? Gharama Za service je? Ulaji wa mafuta na spare upoje? Thanks

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
5c870725a2ed9b9a1e8f58b854f9033e.jpg
unamaanisha ipi kati ya hizi

176dc92e0cc02c65ba596e9b34fd031e.jpg
 
5c870725a2ed9b9a1e8f58b854f9033e.jpg
unamaanisha ipi kati ya hizi

176dc92e0cc02c65ba596e9b34fd031e.jpg
Hyo ya juu ndo nzuri zaidi na ni ya kuiamini sana, ina ubora kama wa Land-cruiser mkonge kuanzia engine na uvumilivu wa barabara na speed pia, zinatulia barabarani ila hazitaki service za bei rahisi, utaponunua spare yake original jua umefunga mkataba haziharibiki kirahisi labda kama wewe ni mlevi na unavamiaga mitaro
Ila model hyo kuna zenye ulaji mzuri wa mafuta mfano za 2.0 ltr cylinder 4 pia kuna za 2.4 ltr 4 cylinder ila kumbuka kuna za hvo hvo zenye engine ya V6 inakula sana mafuta ila performance yake iko vizuri sana....nakushauri uchukue hyo yenye 2.0 ltr Grand Vitara Keyless utafurahi sana.....

Pia hyo ya chini sio mbaya ila zina kasoro ya kutohandle speed kubwa pia nyingi zinakuwa sio economic hata kama ni ya 2.0 ltr sababu kuu ya kutokuwa economic ni kwamba zina gearbox yenye Overdrive iliyokuwa ya zamani....zina tabia ya kuhama barabara kiasi fulani, na ukipata yenye ulaji mzuri wa mafuta itakuwa gharama kubwa ambayo ukiongeza kidogo tu unapata hyo ya juu ambayo tunaiita TANAPA kwa arusha....ziko makini sana

Nakushauri uchukue ile kama kwenye picha kwanza pale juu maana ilitoka baada ya kujua makosa ya hyo ya chini na kuendana na soko la dunia ya sasa....
 
Mkuu unamaanisha vitara ipi? Nomade au?
Naomba nitoe mtazamo wangu juu ya suzuki, suzuki SIO gari nzuri...
Ukimiliki suzuki yoyote ilee iwe swift au vitara walau kirikuu... jiandae kujaza phonebook yako ndani ya wiki... maana utajaza no za mafundi wa kila aina kwenye sim yako....
Kimsingi sijajua specific matatizo yake.. lakin ninachojua wamiliki wa suzuki.. uwa wana urafiki wa karibu sana na mafundi.
 
NB...picha ya pale juu ni V6 ila ndo zina muonekano huo huo za 4 cylinder 2.0 .....

Kuna za 1.6ltr au 1.8 ila ni gharama sana na zinatumia Diesel
 
Hyo ya juu ndo nzuri zaidi na ni ya kuiamini sana, ina ubora kama wa Land-cruiser mkonge kuanzia engine na uvumilivu wa barabara na speed pia, zinatulia barabarani ila hazitaki service za bei rahisi, utaponunua spare yake original jua umefunga mkataba haziharibiki kirahisi labda kama wewe ni mlevi na unavamiaga mitaro
Ila model hyo kuna zenye ulaji mzuri wa mafuta mfano za 2.0 ltr cylinder 4 pia kuna za 2.4 ltr 4 cylinder ila kumbuka kuna za hvo hvo zenye engine ya V6 inakula sana mafuta ila performance yake iko vizuri sana....nakushauri uchukue hyo yenye 2.0 ltr Grand Vitara Keyless utafurahi sana.....

Pia hyo ya chini sio mbaya ila zina kasoro ya kutohandle speed kubwa pia nyingi zinakuwa sio economic hata kama ni ya 2.0 ltr sababu kuu ya kutokuwa economic ni kwamba zina gearbox yenye Overdrive iliyokuwa ya zamani....zina tabia ya kuhama barabara kiasi fulani, na ukipata yenye ulaji mzuri wa mafuta itakuwa gharama kubwa ambayo ukiongeza kidogo tu unapata hyo ya juu ambayo tunaiita TANAPA kwa arusha....ziko makini sana

Nakushauri uchukue ile kama kwenye picha kwanza pale juu maana ilitoka baada ya kujua makosa ya hyo ya chini na kuendana na soko la dunia ya sasa....
Thanks sana mkuu!!!!

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unamaanisha vitara ipi? Nomade au?
Naomba nitoe mtazamo wangu juu ya suzuki, suzuki SIO gari nzuri...
Ukimiliki suzuki yoyote ilee iwe swift au vitara walau kirikuu... jiandae kujaza phonebook yako ndani ya wiki... maana utajaza no za mafundi wa kila aina kwenye sim yako....
Kimsingi sijajua specific matatizo yake.. lakin ninachojua wamiliki wa suzuki.. uwa wana urafiki wa karibu sana na mafundi.
Asante kwa ushauri kaka

Daaaah aseee
 
Kwa sababu ni mawazo ngoja 'tuyachukue' tu
 
Back
Top Bottom