Naomba kujua kuhusu Spark plug engine 1NZ FE

lordchimkwese

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
1,914
3,343
Wakuu naomba mwenye ujuzi anitajie Spark Plug gani nzuri kwa injini ya 1NZ FE hii injini common kwenye IST, Spacio, Raum na Runx.

Mwenye ujuzi tafadhali naomba recommendation.
 
Aisee mkuu una simu unatumia unaweza kuperuzi why usiangalie mwenyewe aina sahihi ya plug ya engine yako??.wabongo tuache uvivu na kutaka kutafuniwa kila kituuu..

Google spark plug for 1NZ FE engine.hapo utapata aina zaidi ya 8.
Kampuni ya denso utapata aina ya plug zaidi ya 2 zinazofunga kwenye engine yako.

Utakuja kwenye NGK hapo napo utapata aina zaidi ya 2..
 
Ggogle si votaluja vya ulaya mzee na mimi nopo bongo huku had nimeuja hapa msha gogle mkuu
Aisee mkuu una simu unatumia unaweza kuperuzi why usiangalie mwenyewe aina sahihi ya plug ya engine yako??.wabongo tuache uvivu na kutaka kutafuniwa kila kituuu..

Google spark plug for 1NZ FE engine.hapo utapata aina zaidi ya 8.
Kampuni ya denso utapata aina ya plug zaidi ya 2 zinazofunga kwenye engine yako.

Utakuja kwenye NGK hapo napo utapata aina zaidi ya 2..
 
Wakuu naomba mwenye ujuzi anitajie Spark Plug gani nzuri kwa injini ya 1NZ FE hii injini common kwenye IST, Spacio, Raum na Runx.

Mwenye ujuzi tafadhali naomba recommendation.
Tumia spark plug ya denso k16R-U11 ndio inafit kwa engine hiyo na bei yake ni 15000 genuine hadi 20000 inategemeana na mahali ulipo
 
Aisee mkuu una simu unatumia unaweza kuperuzi why usiangalie mwenyewe aina sahihi ya plug ya engine yako??.wabongo tuache uvivu na kutaka kutafuniwa kila kituuu..

Google spark plug for 1NZ FE engine.hapo utapata aina zaidi ya 8.
Kampuni ya denso utapata aina ya plug zaidi ya 2 zinazofunga kwenye engine yako.

Utakuja kwenye NGK hapo napo utapata aina zaidi ya 2..
Hata Bosch si wako poa lakini?
 
Plug inaangaliwa specification zake na sio jina la kampuni..ingawa kuna kampun zingine zinatengeneza plug quality sana
Sio specificatio tu mkuu angalai pia uimara wa kifaa kinachowekwa kwenye gari maana ukiangalia hizo specification unazozisemea kila Siku utakua unaua kifaa kimoja kimoja maana kuna vingine part no iko oky lakin fake so be care
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom