Naomba kujua kuhusu Mimba (kuhesabu siku na vyakula muhimu kwa mwenye ujauzito)

Aisatu

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
778
328
Habarin wanaJF,

Wakuu mim naomba kufahamu mambo mawili kuhusu ujauzito

1. Mwanamke akishapata mimba tunaanzaje kuhesabu siku? Tunahesabu kuanzia alipopata ujauzito au tunahesabu toka alivyoanza period?

2. Vyakula gani au vitu gani asitumie wakati akiwa mjamzito?

Naomba mnisaidie watalaam wa mambo haya.
 
chukua siku ya kwanza ya period yake ya mwisho. jumlisha miezi Tisa na wiki moja. ndo mkae standby.

1. Mwanamke akishapata mimba tunaanzaje kuhesabu cku? Tunahesabu kuanzia alipopata ujauzito au tunahesabu toka alivyoanza period?
 
Epukeni baadhi ya samaki.....wenye mekyuri nyingi.

Poa baadhi ya wanawake vyakula vyenye Gluten na sukari vinawaletea kichwa kuuma.

Google
 
Hesabu kuanzia siku ya kwanza ya kupata hedhi jumlisha Wiki mbili then ndio uanze kuhesabu. Mf Siku ya kwanza kupata hedhi ni tarehe 1 January, anza kuhesabu Mimba kuanzia tarehe 14 January then hesabu wiki 38 mpaka arobaini ndio uwezekano wa kujifungua utakuwepo
 
Back
Top Bottom