BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,328
Heshima kwenu wakuu na poleni kwa majukumu. Ombi langu kwenu n kwamba nimepata e-mail kutoka katika kampuni ya "ROKALT CONSULTING"" Wananhitaji katika interview (mahojiano) 4/3/2017 ila nimepata mashaka kidogo kwasababu wameniambia nitume sh 20000 kwa mpesa kuna namba wamezitaja leo mwisho saa moja jioni. Ombi langu kwenu naomba ushauri Kama mnaijua hii kampuni.
Na kwa wale waliopitia interview mbalimbali je imehawi kuwakuta hii namkafanikiwa? Wenu mtiifu
Na kwa wale waliopitia interview mbalimbali je imehawi kuwakuta hii namkafanikiwa? Wenu mtiifu