Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,537
- 9,074
Kuna watu humu walikuwaga wanatoa elimu hii bure humu jukwaani @Pasco Rakims @ Mshana Jrhabari zenu .....wanajamvi naomba kujua sababu ya kuona vitu au siku zinajirudia yani naweza kukaa siku nikaona kama matukio yanajirudia Yan nikaona kama hiyo siku nilishawahi kuiona na kufanya hayo mambo yanayotendeka kwa muda huo....pia naweza kua nimemkumbuka mtu halafu namuona hata kama hatujaonana siku au muda mrefu au naweza kuhisi mtu fulani atanipigia simu na anapiga simu siku hiyo .Je hii ndo de javu au kuna kitu kingine.
Lakini siku hizi wako kimya sijui wamekufa au ni wale waliookotwa kwenye mifuko nawaza tu lakini.!