- Thread starter
- #81
Hajatueleza hiyo story na huyo jini mtu ikikuajeMbona umefurahi mkuu
Hajatueleza hiyo story na huyo jini mtu ikikuajeMbona umefurahi mkuu
Itakuwa anajipanga labda maana ni mda kweliHajatueleza hiyo story na huyo jini mtu ikikuaje
Ulikua na urafiki na mzimu mkuu?? Duh watu wajua mengi Dunia hii.Sijui aisee kama ndio deja vu au laa. Ila niliwahi kusoma humu uzi wa @Pasco kuhusu Psychic Powers ambazo kila mtu anazo tangu utoto ila huwa zinapungua/zinazidiana kadri ubongo unavyozidi kujaa mambo mengi ya nje. Tafuta huo uzi utaelewa zaidi.
Hilo suala la kumkumbuka mtu then ukamuona siku hiyo pia ni uwezo wa akili sjui niite ni connection kati ya mtu na mtu ila kwa mimi ilikuwa inanitokea kwa jamaa yangu mmoja tu ambaye nimekaa nae kwa muda wa miaka mitatu ila sikuwahi kujua anapokaa na ilikuwa nikimuuliza hataki kusema.
Huyu jamaa ilikuwa siku nikimuwaza au kumkumbuka ni lazma siku hiyo nionane nae. Lakini baadae nikaja kujua kuwa hakuwa binadam.
By the way tafuta huo uzi wa @Pasco.
Shukran.
Asee mkuu jamaa alianzisha uzi huo?? Plz nijuze nnatamani sana kusoma hiyo story.Kweli kabisa afungue uzi kabisa atupe kidogokidogo mpaka mwisho.
Sifahamu kwa kweri.Asee mkuu jamaa alianzisha uzi huo?? Plz nijuze nnatamani sana kusoma hiyo story.
Dah! Nimeogopa sana maana hii imenitokea siku za jiraniAlikuwa ni Jinn ndugu.
Dah! Nimeogopa sana maana hii imenitokea siku za jirani
Alikuwa ni Jinn mkuu.Ulikua na urafiki na mzimu mkuu??
Yeah ni kweli kiongozi coz DUNIA yenyewe ina mengi kwa sababu.Duh watu wajua mengi Dunia hii.
I conquer with you Brother!The term déjà vu is French and means, literally, "already seen." Those who have experienced the feeling describe it as an overwhelming sense of familiarity with something that shouldn't be familiar at all. Say, for example, you are traveling to England for the first time. You are touring a cathedral, and suddenly it seems as if you have been in that very spot before. Or maybe you are having dinner with a group of friends, discussing some current political topic, and you have the feeling that you've already experienced this very thing -- same friends, same dinner, same topic.
na hii huwa inanitokea mara nyingi maana nikijihisi uncomfortable then kuna taarifa au jambo baya litatokea na endapo nitajaribu kuwazia kuwa pengine ni jambo fulan bas huwa contrary kabisa na like nmewazia au kufikiria.Hii inaitwa TELEPATH mzee ni Mind to mind communication also can be mind to event communication few people have this ability but also can be taught especially for psychologists and spies but kwa wale with natural ability huwa wakijihisi tu changes in their body something might happen like if ghafla he feel uncomfortable lazima ataskia taarifa mbaya au. Atakumbwa na kitu kibaya
Master key systemHabari zenu .....
Wanajamvi naomba kujua sababu ya kuona vitu au siku zinajirudia yani naweza kukaa siku nikaona kama matukio yanajirudia Yan nikaona kama hiyo siku nilishawahi kuiona na kufanya hayo mambo yanayotendeka kwa muda huo....
Pia naweza kuwa nimemkumbuka mtu halafu namuona hata kama hatujaonana siku au muda mrefu au naweza kuhisi mtu fulani atanipigia simu na anapiga simu siku hiyo .Je hii ndo de javu au kuna kitu kingine.
Hapa ndo umeelezea vzrWakuu hapa kuna vitu tunajichanganya...De javu na Telepathy ni vitu viwili tofauti..
Kwa kifupi, de javu ni ile hali ambapo unaona hali au mazingira na ubongo wako unajaribu kukumbusha (recalling/re-fetching memories) ya jambo au mazingira hayo na kisha kuikosa !!!! Unapoikosa sasa ndipo hali halisi ya mazingira inapojitokeza unahis kama ulishawai kuiona..HIKI HUWA KITENDO CHA KASI SANA KIASI CHINI YA NUKTA 0.1
(Kama nmekuacha uliza)
Mbona hujaimaliziaga storyAlikuwa ni Jinn mkuu.
Yeah ni kweli kiongozi coz DUNIA yenyewe ina mengi kwa sababu.
Shukran.
Tunaitaka ikiwa full story hii mkuu samahan lkn!Mkuu, huyu jamaa nilikutana nae maeneo ya Kinondoni mitaa ya studio.
Nilikuwa na baadhi ya jamaa tukiwa tunakunywa ili kuweka kichwa sawa na kuchangamsha mwili kiasi. Ndipo akaja mtu mmoja akatueleza hapo barabarani kuna mwarabu mmoja hatumuelewi elewi tukimuuliza haongei chochote ndipo nikasema acha niende. Kufika tu nikaanza kumsemesha akawa ananijibu.
Nikamshawishi tuondoke na kwenda kwenye kikao chetu ili kujua kama nae anakunywa au laa. Kufika eneo la kilaji jamaa ikawa haongei na yoyote zaidi yangu.
Aisee, ni story ndefu wakuu ila mambo yaliyonitokea kipindi chote ambacho tupo wote ndio yaliyopelekea kujua kuwa hakuwa binadam.
Natumai nimejibu maswali yako mkuu.
Shukran.
Ulianza vizuri tu lakini kadri watu wanavyokushinikiza utoe muendelezo unakuja na miendelezo inayotia mashaka kama ni halisi au ya kutunga.Jamaa alikuwa ni mwema tu japo aliwahi kuniambia kuwa ametumwa na wakubwa wake aje kunichukua anipeleke ujinini ila anashindwa coz kuna nguvu zinanilinda hivyo anashindwa kunichukua.
Ikamlazimu yeye kushindwa kutimiza hilo jambo na akawa anaogopa kurudi ujinini bila ya kurudi na kile alichoagizwa (MIMI).
Mpaka kulala nae nlikuwa nalala nae usiku mambo nliyokuwa nikiyaona acha tu. Majini bwana wana vituko sana.
aisee, alikuwa ngo'mbe auSijui aisee kama ndio deja vu au laa. Ila niliwahi kusoma humu uzi wa @Pasco kuhusu Psychic Powers ambazo kila mtu anazo tangu utoto ila huwa zinapungua/zinazidiana kadri ubongo unavyozidi kujaa mambo mengi ya nje. Tafuta huo uzi utaelewa zaidi.
Hilo suala la kumkumbuka mtu then ukamuona siku hiyo pia ni uwezo wa akili sjui niite ni connection kati ya mtu na mtu ila kwa mimi ilikuwa inanitokea kwa jamaa yangu mmoja tu ambaye nimekaa nae kwa muda wa miaka mitatu ila sikuwahi kujua anapokaa na ilikuwa nikimuuliza hataki kusema.
Huyu jamaa ilikuwa siku nikimuwaza au kumkumbuka ni lazma siku hiyo nionane nae. Lakini baadae nikaja kujua kuwa hakuwa binadam.
By the way tafuta huo uzi wa @Pasco.
Shukran.
mkuu lete hiyo storyHutakiwi kuogopa mkuu.
Coz hao viumbe ni wapo na tunaishi nao kwenye maisha yetu ya kila siku kiongozi.
Ntakuja PM tupige story kidogo mkuu. Thanks.