Naomba kujua kiwango cha GPA kinachotakiwa katika kudahiliwa Vyuo vya Diploma

frank ngowi

Member
Aug 4, 2018
6
4
habari za muda wana jf,

naomba kwa wataalamu au wanaofahamu au ambao wameshafanyaga application kwa mfano NTA LEVEL 4 nlipata GPA 3.0 LEVEL 5 GPA 3.0 na LEVEL 6 GPA 3.6 je udaili wa kusoma degree kwa vyuo vya afya wanaangaliza wastani wa gpa za level zote au ni hiyo ya mwisho tuu?
 
Inategemea na chuo,kuna wengine cutting point ni GPA ya 2.0
habari za muda wana jf
naomba kwa wataalamu au wanaofahamu au ambao wameshafanyaga application kwa mfano NTA LEVEL 4 nlipata GPA 3.0 LEVEL 5 GPA 3.0 na LEVEL 6 GPA 3.6 je udaili wa kusoma degree kwa vyuo vya afya wanaangaliza wastani wa gpa za level zote au ni hiyo ya mwisho tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeuliza maana nikisoma ile guideline ya TCU naona kwa course za afya qualifications ni GPA ya 3.5 sasa mkanganyiko ndo unanijia apo
kwa general ni 3.0 na kuendelea, ila sasa pia kuna baadhi ya vyuo wamejiwekea vigezo vya na course pia, kama una GPA kuanzia 3.0 na kuendelea nenda chuo unachotaka kuapply umalizane nao.
 
kwa general ni 3.0 na kuendelea, ila sasa pia kuna baadhi ya vyuo wamejiwekea vigezo vya na course pia, kama una GPA kuanzia 3.0 na kuendelea nenda chuo unachotaka kuapply umalizane nao.
ahaa shukrani sana ndugu maana nlikua na mkanganyiko apaa
 
Minimum Entry Requirements for Health Related Programmes S/N Degree Programme Entry Requirements 1 All Health Related Programmes All equivalent applicants need to have a Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least five (5) passes, including two credit passes in Chemistry and Biology and a ‘D’ grade in Physics PLUS appropriate Diploma or Advanced Diploma with an average of “B+’’ Soma final tcu guiding book for ordinary diploma 2019/2020
 
Back
Top Bottom