Mkuu ni muda mrefu nimekuwa nikitatiswa sana na matamshi ya huyu katibu wangu, amekuwa na matamshi ya ..kuropoka ropoka tu. Juzi kwa walioangalia taarifa ya habari Channel 10 .nilimuona na kumsikia katibu wangu akiwaita watu waliohama chama na kuenda upinzani eti ni sawa na MWANAMKE ALIYEBADILI DINI KWA AJIRI YA MWANAUME. binafsi sikupendezwa na mfano wake. nikajiuliza ni vipi wanaume wanaobadiri dini kwa ajiri ya wanawake. nimetumia neno kuropoka sababu si mara moja kumsikia akiongea vitu vya kukanganya. sasa nikawaza isije kuwa namlaumu bure kumbe...............