Naomba kujua kiundani kuhusu biashara ya viatu vya mtumba

daydreamerTZ

Senior Member
Sep 26, 2020
114
188
Wakuu mimi ni kijana ambaye kwa sasa nataka kuingia mtaani na kuanza kujiajiri na nimefikiria kuhusu biashara ya viatu vya mtumba na mzigo nimepanga niwe nachukulia MBEYA naombeni kujua kwa wote wenye idea na uzoefu wa biashara hii uzur wake ubaya wake mtaji wake na wateja wake wanapatikanaje kama ni wa msimu au la ASANTENI
 
Nenda soko la ilala alfajiri saa 11 pale wanapofungulia mabaloo. Fanya sorting. Utanishukuru baadae.

Hata wauzaji reja wengi wa karume chimbo lao ni ilala
 
Wakuu mimi ni kijana ambaye kwa sasa nataka kuingia mtaani na kuanza kujiajiri na nimefikiria kuhusu biashara ya viatu vya mtumba na mzigo nimepanga niwe nachukulia MBEYA naombeni kujua kwa wote wenye idea na uzoefu wa biashara hii uzur wake ubaya wake mtaji wake na wateja wake wanapatikanaje kama ni wa msimu au la ASANTENI

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom