Naomba kujua kinachoendelea karatu kwenye harusi ya mh. Dr. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua kinachoendelea karatu kwenye harusi ya mh. Dr. Slaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sikonge City, Jul 21, 2012.

 1. S

  Sikonge City Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jf, mlioko karatu nijuzeni yanayojili, kwenye harusi ya rais wa mioyo ya watu.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wengi sana tuna hamu sana kujua kinachoendelea. ninachojua ni kwamba Ndugu yetu, Mwanajamvi mahiri kabisa anayekwenda kwa jina la MUNGI wa JF amekwenda huko, na tutegemee 3D coverage.
   
 3. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,684
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ndio wanakula kiapo mbele ya baraza la walei.
   
 4. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,364
  Likes Received: 1,109
  Trophy Points: 280
  Babu kaamua kufunga ndoa? Daah! kweli amejipanga kuchukua nchi 2015 but wasi wasi wangu ni ATAMUWEZA BIBIE? au ndo wakina ZITO watamsaidia kummegea?
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ng'ombe hazeeki maini wewe
   
 6. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,405
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Kama Nelson Mandela amemuweza Graca Machel hata Slaa atamuweza huyo mrembo wake, suala ni techniques. Isitoshe ana uzoefu wa miaka mingi.
   
 7. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,684
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
   
 8. Miss Natafuta

  Miss Natafuta JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 13,875
  Likes Received: 20,943
  Trophy Points: 280
  ahahaaaa
   
Loading...