Naomba kujua kati ya kununua gari hapa Tanzania na kuagiza kutoka nje ni njia ipi bora?

Kuagiza Faida:

1. Machaguo mengi.
2. Inakuja na hali nzuri.
3. Unasajili kwa jina lako.
4. Kuna ka harufu flani hivi unakapata.
5. Wenzetu kama gari lina ugonjwa wanakuambia.

Faida kununua Bongo:

1. Una test drive.
2. Hausuhirii miezi 2 kupata gari, leo unatoa hela leo unaendesha
Mkuu vipi kuhusu unafuu wa gharama kuna kiasi chochote cha pesa kinapungua kwa kuagiza gari nje?
 
Kuagiza gari nje kunawafaa wazee wa mishe.

Unatafuta hela ya kununua gari (CIF) unaagiza hafu unaanza kupambana kutafuta kodi ya TRA.

Ila kununua showroom lazima wakupige kidogo maana woa si wanafanya biashara so lazima waongeze ata Milioni 1 au zaidi.

Ila kama unanunua kwa mtu, fresh unaweza save. Mfano IST ambayo ungeagiza jumla ungetumia mil 11 kwa mtu unaweza pata kwa mil 7.

Lakini kwa mtu hapa TZ ndio hivo inakua na wear and tear za kutosha.
 
Shukrani sana mkuu
 
Hiyo namba 4 imetulia Sana kwasabb nakumbuka kipindi naagiza gari kulikuwa na harufu fulan ya kishua kutoka japan Ila nimekuja kushangaa baada miezi 5 Ile harufu imeisha na sasa kuna harufu ya vumbi na uvundo wa samaki na dagaa

Haa haaa nimecheka kwa sauti kumbe niko sehemu haiitaji kelele
 
Hiyo namba 4 imetulia Sana kwasabb nakumbuka kipindi naagiza gari kulikuwa na harufu fulan ya kishua kutoka japan Ila nimekuja kushangaa baada miezi 5 Ile harufu imeisha na sasa kuna harufu ya vumbi na uvundo wa samaki na dagaa
We jamaa hii comment yako imenichekesha mbaya samaki tena au mnabeba na vibua?
 
Mazingira ya bongo ni shida ndugu Yangu yaan huwa mara zote nafunga vioo mwanzomwisho ni mwendo wa kiyoyozi lkn bado haisaidii....
Sometimes tunatoaga lift au ukimpa gari mtu mwingine Ile anakukabidhi Tu unakuta gari imebeba samaki na nyanya,Kwa style hii unategemea nini
 
Walahi kwa style hiyo smell lazima ichange tu, anyway ndo maisha yetu ya kijamaa yanataka hivyo tutafanyeje sasa.
 
Kuagiza gari nje kunawafaa wazee wa mishe.

Unatafuta hela ya kununua gari (CIF) unaagiza hafu unaanza kupambana kutafuta kodi ya TRA.

Ila kununua showroom lazima wakupige kidogo maana woa si wanafanya biashara so lazima waongeze ata Milioni 1 au zaidi.

Ila kama unanunua kwa mtu, fresh unaweza save. Mfano IST ambayo ungeagiza jumla ungetumia mil 11 kwa mtu unaweza pata kwa mil 7.

Lakini kwa mtu hapa TZ ndio hivo inakua na wear and tear za kutosha.
Kibongo bora ununue namba ambayo ni current mfano ukichukua DWD kwa sasa lazma gari utaikuta ina hali nzuri tu sababu haina hata miezi mitatu
 
Ukiagiza gari nje tambua haya yatajitokeza na kuyajua Kwa undani zaidi
1.mzunguko mzima WA gari kuhusu service pamoja na kupata taarifa sahihi ya kilometers za gari zilizoko hivyo itakusaidia kufanya service kuliko kununua hapahapa nchini unaambiwa ina kilometers 56000 kumbe ilikuwa 300000 huko
2.kupata accessories zote zilizoko kwenye gari original tofauti hapa
3.kutopata usumbufu WA kubadili majina sababu Ngoma itakuja ikiwa na majina yako sahihi kabisa
4.kuwa na punguzo la bei sababu showroom wanafanya biashara wewe utasevu hela kiasi nyingi tu
5.utachagua gari kulingana na sifa unazotaka wewe mfano unataka nissani fuga au Toyota crown yenye sunroof utaipata tofauti na showroom utatembea na pengine usipate
 
Mkuu tembelea beforward website chagua gari unayopenda ,log in na anza majadiliano ya bei na mambo mengine, ukimaliza kukubalina bei nenda beforward Dar wakupe account yao lipia halafu mambo mengine watabaki wanafanya wenyewe.

Kuhusu ubora na unafuu wa bei upo. Andaa kodi za serekali, usiogope kusubili miezi 2 kupata kilichobora
Ivi zile bei wanazo andika pale ktk website zao mfano wale beforward ile bei ni mpaka gari unaikamata hukipi tena au kuna kuwaga na malipo ya ziada ?
 
Back
Top Bottom