Naomba kujua kama local roads zaweza kuwa doubled?

blackberry m

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
563
413
Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuiona cku nyingne. Kwa wataalam na wadau wote wa JF, naomba msaada wa kitaalam kama kuna haja ya barabara za ndani kuwa na upana mkubwa. Kuna wilaya flani inafanya madudu ya kufanya barabara zake ni double roads. Hv ni haki kweli au ni uonevu? Fidia wanazolipa ni ndogo sana.
 
Barabara za ndani ya wilaya. Mfano ni barabara ya kuiunganisha makao makuu na highway, nyingne ni toward a new district hospital.
 
Back
Top Bottom