Naomba kujua kama kuna alie wahi kung'oa meno 3 sehemu moja?

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,385
2,000
Nina matatizo ya meno sasa nimesha ng'oa 4 ila kuna moja liko sehemu nilisha ng'oa 2, kuna siku Dk alisema kwa sababu ni ya chini, ya juu yanaweza kushuka je kweli na kuna yeyote alisha wahi ng'oa sehemu moja ma 3 kwa mfuatano? Na kuna tatizo alipata baadae? Shukran.
 
Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
3,960
2,000
Mimi nikiwa mdogo miaka hiyo,meno ya utotoni yaling'ooka na kuota mengine mapya kabisa.

Baadae,moja ya meno yaliyoota, jino moja lilitoka tena baada ya kugonga chini katika purukushani za mpira. Lakini cha kustaajabisha jino hilo liliota tena na kufikisha idadi ya meno matatu sehemu moja.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,221
2,000
Usihofu. Unaweza kulitoa halafu ukaweka la bandia.
Mi nimeng'oa mengi tu hadi leo na naweka ya bandia.
 
isotaaaa

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
1,925
2,000
Nina matatizo ya meno sasa nimesha ng'oa 4 ila kuna moja liko sehemu nilisha ng'oa 2, kuna siku Dk alisema kwa sababu ni ya chini, ya juu yanaweza kushuka je kweli na kuna yeyote alisha wahi ng'oa sehemu moja ma 3 kwa mfuatano? Na kuna tatizo alipata baadae? Shukran.
ukifahamu?
 
Geechie

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
978
1,000
Me nilingoa matatu muhimbili fast track nilipokuwa na miaka 24,kikubwa naamini afya yako inatakiwa kuwa iko njema na yasiwe meno ya juu,mwisho ni risk kwani unaweza chomoka pia,binafsi nilipigwa na homa ya hatari baada ya kungoa.
Hivyo kuwa mwangalifu
 
Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,385
2,000
Me nilingoa matatu muhimbili fast track nilipokuwa na miaka 24,kikubwa naamini afya yako inatakiwa kuwa iko njema na yasiwe meno ya juu,mwisho ni risk kwani unaweza chomoka pia,binafsi nilipigwa na homa ya hatari baada ya kungoa.
Hivyo kuwa mwangalifu
Japo sio na ng'oa kwa mpigo yaaani kwa kwa mfuatano kwa nyakati tofauti.
 
vespere

Member
Jan 13, 2015
85
125
Kuziba meno ndiyo njia bora ya kutunza meno yako na kuendelea kuyatumia kwa kusudio lilelile tatizo tunakwenda dental clinic ikiwa tayari jino linamaumivu hivyo inakuwa Ngumu kuzibwa kama utawahi mapema kumuona dentist kabla ya jino kuuma likizibwa halitakuwa na maumivu kabisa na utadumu nalo kwa muda mrefu zaidi. Epuka kungoa meno kwa yanakazi muhimu sana kinywani mfano kutafuna kukupa muonekano mzuri na kuongea vzr. Hakikisha unafanya check up ya kinywa walau Mara 2 kwa mwaka ilikupata ushauri wa kitalaam na kama yamegundulika meno yenye cavity dentist atayafanyia repair ili usijekungolewa pindi yatakapo Leta maumivu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom