Naomba kujua jinsi ya kuunganisha samsung galaxy tab 2 7.0 katika vifurushi vya tigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua jinsi ya kuunganisha samsung galaxy tab 2 7.0 katika vifurushi vya tigo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by baraka boki, Sep 12, 2012.

 1. b

  baraka boki Senior Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Yoyote anayejua jinsi ya kuunganisha samsung galaxy tab 2 7.0 3g katika vifurushi vya tigo internet
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  vifurushi vipo vya aina nyingi kulingana na MDA, WAKATI na KIWANGO hivyo piga customer care wakufahamishe vyote alafu uchague au ingia ::: Tigo ::: na kama nimekuelewa hivyo na ikiwa tofauti basi njia ya haraka weka simcard yako kwenye simu ujiunge alafu uirudishe kwa tablet yako.
   
 3. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2014
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Msaaada
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Jan 5, 2014
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,773
  Likes Received: 7,085
  Trophy Points: 280
  tuma keyword kwenda 15166. nimeandika keyword kwa mbele hela utayokatwa

  day 500
  day plus 950
  day max 5300

  week 3700
  week plus 10500
  week max 31500

  month 10500
  month xtra 19000
  month plus 31500
  month max 58000
  month xtreme 126000
   
 5. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2014
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Au simply ingia intenet.tigo.co.tz
   
Loading...