naomba kujua jinsi ya kujiunga na unlimted ya airtel kwa mwez mzima !!!!

mwakyoma2011

Member
Mar 10, 2011
17
0
naomba mnisaidie wakubwa ili niweze kujua jinsi ya kujiunga na unlimited cause kuna ki2 nataka ku download
 
batumia modem ya airtel ambayo imeunganishwa na 3g xo kuna issue nilikuwa nataka ku download lakin naona ina uwezo mkubwa ambayo ile bundle ya 2500 ainitosh kabisa !!! tafadhal naomba msaada wako mkubwa ntashukuru xana !!! ili niweze kujiunga na unlimited ya mwez
 
fulldata itakua elfu 70,000 mi nakushauri tumia download DOWNLOAD ACCELATOR PLUS(dap) kusudi mb zikiisha unaweza uka resume na kuendelea kudownload kwa speed ya hali ya juu mi nafanya hivyo na ninatuma mb 400 kwa sh 2500
 
tumia Vodacom Unlimited Internet Access kwa 30,000/= tu kwa mwezi mzima,,recharge ur phone with 30thouznd alafu tuma sms andika BOMBA30 kwenda number 123...
 
tumia Vodacom Unlimited Internet Access kwa 30,000/= tu kwa mwezi mzima,,recharge ur phone with 30thouznd alafu tuma sms andika BOMBA30 kwenda number 123...

Inakuwa na speed gani au ndio wanakupunguzia speed ya kudownload?
 
Back
Top Bottom