Naomba kujua jinsi ya kuinstall DMG files kwenye android

crusader_jr

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
994
846
Wakuu habari na poleni na qurantine ya corona, naomba kuwasilisha swali langu kwenu niweze pata usaidizi nlipokwama.

Kuna application ya traktor dj 2 watu wa Dj'ing mnaelewa ni kitu gani, nlitafuta application yake inayoweza ku-run on android nkakikosa ila nlipata inayorun kwenye ios, sasa swali langu kwenu wajuvi ni njia gani nawesa tumia ku extract dmg files kwenye android ili niweze kuitumia iyo application kwenye android yangu.

NB:spec za simu yangu ni;
:eek:s android 9(pie)
model(whyred)redmi note 5
chipset ni Qualcomm
storage ni 4/64gb
Nawasilisha karibuni wakuu...👏👍
 
Hiyo file extension ya .dmg ni mahususi kwa ajili ya Mac Operating system na sio simu za android
 
Hio ni image mkuu hata ukifanikiwa kuifungua kuna possibility kubwa ukashindwa kurun kili
Chopo ndani, mfano wake ni kama iso sema tu hilo limekuwa designed kwa mac os.
 
Mkuu inamaanisha hamna njia ya kufanya kuweza kurun iyo app kwenye android au kuna tools za kutumia
 
.dmg for Mac OS, .exe for Microsoft Windows, .ipa for iOS, .apk for Android

Hiyo package haiwezi kufunguka kwenye Android kwasababu ilitengenezwa kutumika kwenye Mac OS.
 
Kuiextrat jaribu (7zip.cmg au .exe )ila iko hivi. Huo mfumo ni kama sanduku lenye kufuri unataka kulifungua ili utumie vilivyoko ndani.

Sasa wewe unasanduku lenye vifaa vya Gari na unatafuta funguo ili Ulifungue upate vifaa vya Pikipiki, na sikulazimishi kuelewa huu mfano.

Kukusaidia kama ni apps za Dj kwa ajili ya android zipo kibao ni hela yako au ujanja wako tuu.

Hizi Hapa:
Screenshot_2020-04-06-20-44-57.jpeg
Screenshot_2020-04-06-20-45-09.jpeg
Screenshot_2020-04-06-20-45-21.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuiextrat jaribu (7zip.cmg au .exe )ila iko hivi. Huo mfumo ni kama sanduku lenye kufuri unataka kulifungua ili utumie vilivyoko ndani.

Sasa wewe unasanduku lenye vifaa vya Gari na unatafuta funguo ili Ulifungue upate vifaa vya Pikipiki, na sikulazimishi kuelewa huu mfano.

Kukusaidia kama ni apps za Dj kwa ajili ya android zipo kibao ni hela yako au ujanja wako tuu.

Hizi Hapa:View attachment 1410747View attachment 1410748View attachment 1410749

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu ila apps zote apo amna inayoweza kulingana na traktor dj au serato dj labda cross dj ya kununua kwa mbali lakini ila lengo langu ilikua kupata iyo traktor dj iweze kurun kwenye android yangu mkuu maana ni moja ya the best dj software
 
hamna namna ya kufanya niweze install iyo app maana nimeitafuta sana aisee
Labda ukitafuta android version yake ndio itaweza kurun kwenye simu. Tofauti na hapo labda utafute mbadala wa hiyo software na kwa bahati mbaya hiyo Traktor inarun kwenye windows, mac na iOS pekee kwa sasa.
 
Wakuu habari na poleni na qurantine ya corona, naomba kuwasilisha swali langu kwenu niweze pata usaidizi nlipokwama.

Kuna application ya traktor dj 2 watu wa Dj'ing mnaelewa ni kitu gani, nlitafuta application yake inayoweza ku-run on android nkakikosa ila nlipata inayorun kwenye ios, sasa swali langu kwenu wajuvi ni njia gani nawesa tumia ku extract dmg files kwenye android ili niweze kuitumia iyo application kwenye android yangu.

NB:spec za simu yangu ni;
:eek:s android 9(pie)
model(whyred)redmi note 5
chipset ni Qualcomm
storage ni 4/64gb
Nawasilisha karibuni wakuu...👏👍

Mkuu haya mambo yanawezekana tafuta application inaitwa happy mod ipo google inazo mods za app nyingi ata ambazo unatakiwa kulipia utazipata bure kule ndo ujanja ninao utumiaga kupata apps na games nzuri maana kama unavofahama app za kulipia ndo znakuaga nzuri zaidi ,basi kwenye happy mod zipo bure ila kuna baadhi zna crash.
 
shukrani mkuu ngoja nikaisake
 
Back
Top Bottom