Hapana, Zoom lazima uwe na smartphone au computer.Ni call ya kawaida? Namaanisha hata wasio na smart phone nawaunga pia?
Mbona unapiga tu normal calls na unawaunga watu uwatakao.Ni call ya kawaida? Namaanisha hata wasio na smart phone nawaunga pia?
Kwa simu ya kawaida mwisho watu 5 lkn nadhani unaweza kuongeza idadi kwa mtu ambaye tayali umemuunganisha akaunga conference watu wengine 5, thn na wengine hivyohivyo.Ni call ya kawaida? Namaanisha hata wasio na smart phone nawaunga pia?
Umetisha mkuuUnapiga simu ya kwanza, ikishapokelewa una Add simu nyingine, unaendelea kua add hivyo hivyo hadi utakapotosheka.
Tupe link ya hio apps tuweze kuipakua kabisa na how it function nami nilikua mhitaji wa hiloKwa zoom naona ndio rahisi. Nimetumia mara kadhaa. Ila smart lazima.
Nashukuru wadau mliochangia kumbe hata kwa call ya kawaida unaweza.
Ingia Google search zoom cloud meeting.Tupe link ya hio apps tuweze kuipakua kabisa na how it function nami nilikua mhitaji wa hilo