Naomba kujua Jinsi ya kufanya Conference call watu zaidi ya 15

Tumia micro soft team ni nzuri just create link and share na hyo team, kwa wakati mmoja inaweza kuchukua hata watu zaidi ya hamsini ni rahisi and simple
 
Umejaribu kupitia njia gani?
moja ya alternatives ni kutumia application inaitwa Zoom. Free version inahost mpaka watu 100. wana app ya simu na program ya pc
Ni call ya kawaida? Namaanisha hata wasio na smart phone nawaunga pia?
 
Ni call ya kawaida? Namaanisha hata wasio na smart phone nawaunga pia?
Mbona unapiga tu normal calls na unawaunga watu uwatakao.

Mimi natumia OnePlus 7 na nimefanya hilo jana tarehe 16 September niliwaunga watu 12 na kuzungumza nao.
 
Unapiga simu ya kwanza, ikishapokelewa una Add simu nyingine, unaendelea kua add hivyo hivyo hadi utakapotosheka.
 

Attachments

  • Screenshot_20200917-151508~2.png
    Screenshot_20200917-151508~2.png
    222 KB · Views: 63
  • Screenshot_20200917-151529~2.png
    Screenshot_20200917-151529~2.png
    219.4 KB · Views: 53
Ni call ya kawaida? Namaanisha hata wasio na smart phone nawaunga pia?
Kwa simu ya kawaida mwisho watu 5 lkn nadhani unaweza kuongeza idadi kwa mtu ambaye tayali umemuunganisha akaunga conference watu wengine 5, thn na wengine hivyohivyo.
 
Kwa zoom naona ndio rahisi. Nimetumia mara kadhaa. Ila smart lazima.

Nashukuru wadau mliochangia kumbe hata kwa call ya kawaida unaweza.
 
Back
Top Bottom