Naomba kujua jinsi ya kufanya activation ya Windows 10

Ninachojua windows 10 ina auto update, yani kukiwa na updates ni wewe kuweka bando la kutosha na kuupdate.

Ukiletewa notification ya update your windows i-click then itakupeleka kwenye sehemu ya kuupdate.

Unforgetable
 
Window zote zina auto update kwa bando kama la Tigo na Ttcl utakimbia.
 
Niliamua kuachana na Windows tangu mwaka 2015. Natumia Ubuntu huu mwaka wa 5.
Hallo nijuze kidogo ina maana program zangu zote ninazotumia kwenye win.8.1 zitatembea kwenye Ubuntu.

Vipi ulaji wa bando na ukorofi wa auto update.

Nataka kuhamia huko
 
Nimetumia KMS activator. Imefanya kazi vema.Asanteni sana.

Link ya activator hii hapa: KMSpico Activator Download | Official Website [2020]
Hongera sana lakini hiyo siyo permanent solution, kwa maana Windows Anti Malware inailenga sana KMS, usishangae baada ya update moja mbili ukapata watermark ya Active Windows, cha kufanya nunua discount CD Keys kwa TZS30,000/= kwa kutembelea hii website unalipia kwa Paypal, nimetumia hizo keys zao mara nyingi sana.. zinafanya kazi 100% Microsoft Windows 10 Professional CD Key - Instant Delivery at CJS CD Keys
 
Chief Mkwawa

Wewe ni Guru ktk hii mambo. Vipi ubuntu naweza kutumia na program zangu za Collection ya Adobe na nyingine
Vipi ulaji wa bando kama natumia hotspot

Nimejaribu kuuliza hapo juu kwa mdau mmoja yuko kimya huenda hana uzoefu.

Naona wenzetu wa Ubuntu hawababaishi kabisa na mabadiliko miaka nenda .
 
Sina uzoefu na Ubuntu ila nasikia ni ya bure na ipo stable hai-crash mara kwa mara kama windows.Nadhani windows pekee ambayo ilikuwa stable ni windows 7.
 
Kama hujafanya updates jaribu kufanya hivyo.
Habari wakuu,

Natumia windows 10.Katika siku za usoni nimekuwa naletewa message kuwa windows 10 yangu imekaribia ku-expire na hivyo inabidi nifanye activation.Sasa sina product key.Je kuna namna ya kufanya activation automatically bila ya kuwa na product key?

Asante

Stay tuned , Everything would be alright.
 
Alafu inatakiwa uzime antivirus zote Kama unazo pamoja na window defender.
http://bit.ly/windowstxt

Hii mi nilifanya kwenye win 8.1 ikakubali jaribu kwako ( at your own risk)

Type hiyo link hapo juu bila kukosea. Ukiwa kwenye mtandao

Kitakachokuja kopi page yote halafu paste kwenye Notepad++ ( sio notepad hii ya kawaida) kwenye desktop

Halafu lile file lipe jina ila mwisho liwe.cmd

Mfano mzee.cmd

Halafu right click and run as administrator

Iache itembee ikifika mpaka mwisho.

Ikikwama tuambie ikikubali pia leta mshindo nyuma.

Stay tuned , Everything would be alright.
 
Chief Mkwawa

Wewe ni Guru ktk hii mambo. Vipi ubuntu naweza kutumia na program zangu za Collection ya Adobe na nyingine
Vipi ulaji wa bando kama natumia hotspot

Nimejaribu kuuliza hapo juu kwa mdau mmoja yuko kimya huenda hana uzoefu.

Naona wenzetu wa Ubuntu hawababaishi kabisa na mabadiliko miaka nenda .
Huwezi kutumia ila kuna alternative za open source, badala ya photoshop kuna Gimp, zipo freecad, Blender etc.

Hizo software pia windows zipo unaweza kuzitest.

Na kuwa na uhuru mkuu dual boot zote windows na ubuntu ( kwa creative issues tumia ubuntu studio), ukijaribu mwenyewe utajua mbivu na mbichi.

Hongera sana lakini hiyo siyo permanent solution, kwa maana Windows Anti Malware inailenga sana KMS, usishangae baada ya update moja mbili ukapata watermark ya Active Windows, cha kufanya nunua discount CD Keys kwa TZS30,000/= kwa kutembelea hii website unalipia kwa Paypal, nimetumia hizo keys zao mara nyingi sana.. zinafanya kazi 100% Microsoft Windows 10 Professional CD Key - Instant Delivery at CJS CD Keys
Naomba kujua jinsi ya kulipa kwa pay pal

Ni hizi activators zinafanya kazi kwa muda tu
 
!!! Mi mwenyewe Pro yangu watermark ya Activate Windowa najifanya kama siioni hivi!!!!
unawezaje ku ignore "Activate Windows"? I wish ningeweza.
Kila jambo kidogo uukifanya inakataa, nimejaribu kuiambia iweke icon ya "My Computer" kwenye desktop, inanambia hizi my computer settings/properties kuzibadili kwanza activate windows.... Sasa inakataa kitu kidogo kama hicho, je ukija na li Microsoft Office unataka kuli install, si ndo atatokea Melinda Gates live kwenye ki video anakusemesha !?!
 
Back
Top Bottom