Shukrani saana Mkuu!Kwa upande wa Durability engine ya diesel ni durable na inakaa muda mrefu. Ila kama ni mpenzi wa mafuta ya videbe utalia na kusaga meno.
Performance kwa upande wa nguvu diesel ni nzuri ila upande wa mbio na kuchanganya faster petrol ni nzuri zaidi.
Performance kwa upande wa matumizi mazuri ya mafuta diesel nzuri zaidi.
Shukrani saana Mkuu!
Nakuelewaga saana
We ni fundi magari?Kwa upande wa Durability engine ya diesel ni durable na inakaa muda mrefu. Ila kama ni mpenzi wa mafuta ya videbe utalia na kusaga meno...
We ni fundi magari??.
Umesahau kumkumbusha magari yanayotumia diseal ni magari makubwa na ya kuanzia tani 2 na kuendelea kama Land Cruiser na mengineyo. Uwezi kuta IST au Passo ya disealKwa upande wa Durability engine ya diesel ni durable na inakaa muda mrefu. Ila kama ni mpenzi wa mafuta ya videbe utalia na kusaga meno.
Performance kwa upande wa nguvu diesel ni nzuri ila upande wa mbio na kuchanganya faster petrol ni nzuri zaidi.
Performance kwa upande wa matumizi mazuri ya mafuta diesel nzuri zaidi.
Umesahau kumkumbusha magari yanayotumia diseal ni magari makubwa na ya kuanzia tani 2 na kuendelea kama Land Cruiser na mengineyo. Uwezi kuta IST au Passo ya diseal
Umesahau kumkumbusha magari yanayotumia diseal ni magari makubwa na ya kuanzia tani 2 na kuendelea kama Land Cruiser na mengineyo. Uwezi kuta IST au Passo ya diseal
Jamaa hajielewi, kwa nchi ambazo zilichelewa ku adapt kwenye teknolojia ya petrol kama nishati endeshi kama ujerumani na uingereza wao wanatumia gari za diesel nyingi tu ndio maana ma benz na ma range rover yako mengi tu ya diesel powered! Pia VW na golf ni hivyo hivyo hata Toyota za UK nyingi ni za diesel!You are missing a point. Kuna Cars nyingi zinatoka za petrol na diesel engine.
Kuna BMW 1 series ina engine ya diesel na haifiki hata tani na nusu.
Kuna Vw polo za diesel,
Kuna nissan march ya diesel. Hiki kigari ni kidogo sana.
Fatilia.
Ahsante kwa Ufafanuzi.Jamaa hajielewi, kwa nchi ambazo zilichelewa ku adapt kwenye teknolojia ya petrol kama nishati endeshi kama ujerumani na uingereza wao wanatumia gari za diesel nyingi tu ndio maana ma benz na ma range rover yako mengi tu ya diesel powered! Pia VW na golf ni hivyo hivyo hata Toyota za UK nyingi ni za diesel!
Kuhusu magari makubwa yanatumia diesel sababu yanahitaji nguvu zaidi ya mwendo katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku! Mfano malori na mabasi, ma forklift, caterpillars na kadhalika hayo hutumia diesel sababu engine ya diesel iko more torquey!
Mkuu naomba unifafanulie kuhusu uimara na ubora wa Subaru XTNdio mkuu
Mkuu, unataka watu waanze kutuma na CV zao kabla ya kuchangia nyuzi? JokeWe ni fundi magari?
Nilikuwa nauliza tu mkuu.Mkuu, unataka watu waanze kutuma na CV zao kabla ya kuchangia nyuzi? Joke
Point mkuu engine zinazotumia diesel zinanguvu mnoJamaa hajielewi, kwa nchi ambazo zilichelewa ku adapt kwenye teknolojia ya petrol kama nishati endeshi kama ujerumani na uingereza wao wanatumia gari za diesel nyingi tu ndio maana ma benz na ma range rover yako mengi tu ya diesel powered! Pia VW na golf ni hivyo hivyo hata Toyota za UK nyingi ni za diesel!