Naomba Kujua Ipi ni Injini Nzuri ya gari kati ya Petrol ama Diesel

Kwa upande wa Durability engine ya diesel ni durable na inakaa muda mrefu. Ila kama ni mpenzi wa mafuta ya videbe utalia na kusaga meno.

Performance kwa upande wa nguvu diesel ni nzuri ila upande wa mbio na kuchanganya faster petrol ni nzuri zaidi.

Performance kwa upande wa matumizi mazuri ya mafuta diesel nzuri zaidi.
 
Shukrani saana Mkuu!
Nakuelewaga saana
 
Kwa upande wa Durability engine ya diesel ni durable na inakaa muda mrefu. Ila kama ni mpenzi wa mafuta ya videbe utalia na kusaga meno.

Performance kwa upande wa nguvu diesel ni nzuri ila upande wa mbio na kuchanganya faster petrol ni nzuri zaidi.

Performance kwa upande wa matumizi mazuri ya mafuta diesel nzuri zaidi.
Umesahau kumkumbusha magari yanayotumia diseal ni magari makubwa na ya kuanzia tani 2 na kuendelea kama Land Cruiser na mengineyo. Uwezi kuta IST au Passo ya diseal
 
You are missing a point. Kuna Cars nyingi zinatoka za petrol na diesel engine.

Kuna BMW 1 series ina engine ya diesel na haifiki hata tani na nusu.

Kuna Vw polo za diesel,

Kuna nissan march ya diesel. Hiki kigari ni kidogo sana.

Fatilia.
 
Jamaa hajielewi, kwa nchi ambazo zilichelewa ku adapt kwenye teknolojia ya petrol kama nishati endeshi kama ujerumani na uingereza wao wanatumia gari za diesel nyingi tu ndio maana ma benz na ma range rover yako mengi tu ya diesel powered! Pia VW na golf ni hivyo hivyo hata Toyota za UK nyingi ni za diesel!

Kuhusu magari makubwa yanatumia diesel sababu yanahitaji nguvu zaidi ya mwendo katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku! Mfano malori na mabasi, ma forklift, caterpillars na kadhalika hayo hutumia diesel sababu engine ya diesel iko more torquey!
 
Ahsante kwa Ufafanuzi.
 
Point mkuu engine zinazotumia diesel zinanguvu mno
 
Back
Top Bottom