Naomba kujua hospital ya macho inayotumia bima

V

VENTURECACHER

Member
Joined
Oct 24, 2011
Messages
26
Points
45
V

VENTURECACHER

Member
Joined Oct 24, 2011
26 45
nisaidie nahaitaji kupimaa macho yananiumaa snaa na kuwa mekundu na ukakasi kma mchanga pia kichwa huuma kwa mbali, naombaa kufahamishwa hosp nzur yenye specialist wa macho ili aweze nisaidia.tafadhali.
 
C

Camp Gilgal

Member
Joined
Aug 11, 2017
Messages
5
Points
45
C

Camp Gilgal

Member
Joined Aug 11, 2017
5 45
nisaidie nahaitaji kupimaa macho yananiumaa snaa na kuwa mekundu na ukakasi kma mchanga pia kichwa huuma kwa mbali, naombaa kufahamishwa hosp nzur yenye specialist wa macho ili aweze nisaidia.tafadhali.
1. Muhimbili National Hospital
2. International Eye Hospital (Hii ipo barabara ya Bagamoyo karibu na Victoria)

Hizi ni sehemu zenye wataalamu na vifaa vizuri na zinapokea BIMA ya NHIF, nk. Kwingine kama CCBRT sina uhakika wanapokea Bima aina zipi.
 
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
12,239
Points
2,000
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
12,239 2,000
CCBRT ila ikifika kipengele cha miwani kama wewe ni mwenye bima utapewa,
kama ni mtegemezi unanunua ila vingine bima inafanya kazi
 
Forum statistics

Threads 1,335,571
Members 512,393
Posts 32,509,737
Top