Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,284
- 10,665
Wengine wanasema mhamasishaji mkuu alikuwa Joseph MungaiNasikia miti ile ilipandwa na mzee malecela alipokuwa mkuu wa mkoa wa Iringa
Wengine wanasema mhamasishaji mkuu alikuwa Joseph MungaiNasikia miti ile ilipandwa na mzee malecela alipokuwa mkuu wa mkoa wa Iringa
Aina ya miti yenyewe kwanza siyo ya Asili ni ile ya KupandwaMkuu umewahi kuuona msitu wenyewe? Tuanzie hapo kwanza
Umeshawahi kuona popote duniani miti ya mungu imejiotea kwa mstari mnyoofu wa rula kwa maelfu ya ekari?
simple logic tu,huujui huo msitu.Kuna mtu atakua kapanda kweli? Si kwamba palihifadhiwa tuu na serikali
Jf bwana mtu hata kama kitu hakijui anachangia tusimple logic tu,huujui huo msitu.
Hhh kweli kabisa chiefJf bwana mtu hata kama kitu hakijui anachangia tu