Joel Johansen
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 242
- 319
Hayati Rajab Mbhano alikuwa Mbunge wa wakati huo Kigoma mjini, Mh. Chrisant Mzindakaya ndo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kipindi hicho.
Nasikia walikorofishana na kutishiana na baada ya muda Mbunge akaaga dunia kwa ajali kisha kufuatiwa na vifo vya watoto wake kadhaa.
Je, ni mapigo gani alijitutumua nayo kwa Mzindakaya? Nalolijua ni moja tu ambapo Mzindakaya aliwekewa kikombe hewani ajimininie Chai (Kigoma ni shida pia katika mkoa huo huo wa Kigoma, naskia Nyerere aliwahi kwenda ziara kisha wazee waliokuwepo kwenye Kongamano hilo wakapaisha fimbo zao hewani (fimbo zikaganda hewani) then ndo wakakaa kumsikiliza Mwalimu.
Wajuzi wa Historia iliyofichwa karibuni.