Naomba kujua historia ya demo walizoonyeshana hayati Rajab Mbhano v/s Chrisant Mzindakaya

Joel Johansen

JF-Expert Member
May 12, 2016
242
319
Hayati Rajab Mbhano alikuwa Mbunge wa wakati huo Kigoma mjini, Mh. Chrisant Mzindakaya ndo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kipindi hicho.

Nasikia walikorofishana na kutishiana na baada ya muda Mbunge akaaga dunia kwa ajali kisha kufuatiwa na vifo vya watoto wake kadhaa.

Je, ni mapigo gani alijitutumua nayo kwa Mzindakaya? Nalolijua ni moja tu ambapo Mzindakaya aliwekewa kikombe hewani ajimininie Chai (Kigoma ni shida:) pia katika mkoa huo huo wa Kigoma, naskia Nyerere aliwahi kwenda ziara kisha wazee waliokuwepo kwenye Kongamano hilo wakapaisha fimbo zao hewani (fimbo zikaganda hewani) then ndo wakakaa kumsikiliza Mwalimu.

Wajuzi wa Historia iliyofichwa karibuni.
 
Nilichosikia kipindi mzindakaya ni mkuu wa mkoa wa kigoma alijaribiwa na wazee wa mji wa kigoma kwa kuning'iniza balakashia hewani na makoti yao ..mfipa yule ( mzindakaya ) alichowafanyia wale wazee ni kuwaambia wainuke kwenye viti lkn wale wazee walishindwa kuinuka ...na mzindakaya kuibuka kidedea ...mkuu wafipa ni habari nyingine kabsa kwa hapa Tz
 
Aseeeee...
 
Kweli ufalme Wa MUNGU MKUU kama utaonekana kwa wachache sana
 
Back
Top Bottom