Naomba kujua historia na chimbuko la kabira la wakurya

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Wakuu habari za huko kwenyu?

Mimi ni mkurya muhili ketosho nyumbani ghwetu ni kule tarime kijijini kongoto.

Naomba kwa wale bhakurya bhenzangu mnisaidie kunielezea historia na chimbuko la kabhira letu lya kikurya.

Karibuni kwani taaka niandike kitabu cha ukoo wetu.
 
Mimi ni ''Muhiri Sarighoko!!! nyamtibhita Tata nyarusare ruya!!!! natokea Keng'ombe, pare karibu na kijiji cha Kongore!! rahisi kama unatokea huku Rebu mastoo, pandisha Njia panda ya kwenda Kenyamanyori- Kiribho, telemka pare Kibhumaye shule ya msingi unakatiza uwanja wa shule usawa wa gori la mwisho fuata hicho kinjia,

Hapo hapo uwanjani kwao Mwita wembe niurizie jina langu, km haitoshi kuna nyumba moja ya mchungaji wa SDA Pasta Bina, au Mghonche Bina, Werungu Bina ulizia hapo!

chimbuko la wakurya ni Africa Kaskazini, Libya, Egypt,Tunisia nk Karne ya Saba tulifurushwa kwa vita mbaya sana kati yetu na Magiriki walio zaa na dada zetu watoto waliojiita Waarabu, mpaka reo turiacha tabia zetu huko wanatahiri km sisi kuna majina chacha , Marwa wanaita Maruan, Ghati, nk, kwanza tuliwakaribisha wakatusoma uwezo wetu sehemu pekee iliyo kuwa sarama kwetu ilikuwa ni kusini zaidi humo njiani tuliacha amsalia sana, tulifujuzwa na ndugu zetu amabao walijiona wazungu magiriki ambao walijiita waarabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom