Naomba kujua hii ni “Allergic” au nini wataalamu wa hapa

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
Habari,

Mtoto wangu ana hivi viupele(kwenye picha) kama miezi 7 sasa, viko mkononi, miguuni na mzunguko wa macho kidogo, nilimpelekea Hospital ya regency nikijua Dk atanipania ni allergy hani maajabu kasema ni vipele tu eti kanipa beprosalic ream ya kumpaka basi sijaridhika kabisa manake nimesoma ile cream haitakiwi kupakwa machoni sasa itamsadiaje.

Nadhani wengi hapa walisha iona au kukumbana nayo mnaweza nishauri vyema.

IMG_7856.jpg

Asanteni.
IMG_7855.jpg

IMG_7854.jpg

IMG_7853.jpg

IMG_7852.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ungeongezea maelezo zaidi...
Vinawasha? Vinatoa maji maji?
Vinauma? Vilianzaje?
 
Mimi pia nina tatizo la kutoka vipele kwenye mikono na miguu..ila husababishwa na kuumwa mbu..vipele hivyo huvimba maji haviumi wala haviwashi..wataalamu naombeni msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu anatumia blue Band au peanut butter Kama hatumii n allergy imetokana na mafuta yakupikia
 
Habari,

Mtoto wangu ana hivi viupele(kwenye picha) kama miezi 7 sasa, viko mkononi, miguuni na mzunguko wa macho kidogo, nilimpelekea Hospital ya regency nikijua Dk atanipania ni allergy hani maajabu kasema ni vipele tu eti kanipa beprosalic ream ya kumpaka basi sijaridhika kabisa manake nimesoma ile cream haitakiwi kupakwa machoni sasa itamsadiaje.

Nadhani wengi hapa walisha iona au kukumbana nayo mnaweza nishauri vyema.

View attachment 1825657

Asanteni.View attachment 1825658
View attachment 1825659
View attachment 1825660
View attachment 1825661
Mhhh, hajanywa JIKE huyu akihisi ni juisi ya Miwa? Anyways, hapa sidhani kama utapata ushauri mzuri, tafuta mganga mwingine.
 
Mbona kama ni reaction ya joto?. Havina madhara vitapotea tu. At the moment tumia dawa ya tube inaitwa Gentrisone ni cream hiyo paka kikamilifu sehemu iliyoathirika baada ya mtoto kuoga asubuhi na jioni . Alafu baada tu ya siku mbili niletee mrejesho was shukran. Hiyo siyo dawa ya kutibu tatizo kabisa baadae tutaendele na utafiti wa tiba. Hakikisha hiyo dawa imeandikwa Gentrisone kwenye tube lake. Ukiikosa usinunue dawa mbadala wake. Nawajuwa vizuri wauza dawa.
 
Back
Top Bottom