Unamanisha ineisha boma tu au na kupaua?Kiongozi ulichosema ni sahihi kabisa. Nimemaliza nyumba ya vyumba 3 kimoja master jiko na stoo kwa 20mil. nimekomaa mwenyewe na fundi wa kawaida na tofari nilikodi machine nikafyatua mwenyewe.

Umejenga nyumba au banda mkuu? Banda ni aina ta jengo linalokua na vyumba vinavyoangaliana na korido ndefu inayotenganisha hilo jengo husika..je umejenga nyumba au banda mkuu?Mara kadhaa,ukisikiliza comments za watu humu,unaweza kimbia.
Kama miez mitatu au NNE nyuma nilileta bandiko nikiomba ushauri.
Nilikua na 22M hivi niliulizia kama naweza jenga 6rooms.
Osh! Majibu na comments zilitaka kunirudisha nyuma.
Lakin nikaanza hivyohivyo.Nilitafuta local fundi ni mzuri,tukaanza ujenzi.
Mpaka sasa room6,zimeisha,nimepiga draft kwaajili ya Gpsum,plasta ndani,raf floo,milango ya ndani,grill za madirisha 10, karo na choo cha nje ,wire ring, kulipia umeme vyote tayari,
Mpaka hapo nimetumia abt 24M.
Ndugu nashauri usiogope,we anza,lkn hakikisha unatafta local fundi n wazuri,na garama zao ziko chini sana.
Sasa hivi Kazi hakuna so ukiwahitaji,weka fungu mezani,wambie anaeweza afanye kazi.
Cha muhimu,usimamie mwenyewe.
Usimuachie MTU akanunue material wala kusimamia,hapo utaibiwa.
Umejenga nyumba au banda mkuu? Banda ni aina ta jengo linalokua na vyumba vinavyoangaliana na korido ndefu inayotenganisha vyumba husika..je umejenga nyumba au banda mkuu?Mara kadhaa,ukisikiliza comments za watu humu,unaweza kimbia.
Kama miez mitatu au NNE nyuma nilileta bandiko nikiomba ushauri.
Nilikua na 22M hivi niliulizia kama naweza jenga 6rooms.
Osh! Majibu na comments zilitaka kunirudisha nyuma.
Lakin nikaanza hivyohivyo.Nilitafuta local fundi ni mzuri,tukaanza ujenzi.
Mpaka sasa room6,zimeisha,nimepiga draft kwaajili ya Gpsum,plasta ndani,raf floo,milango ya ndani,grill za madirisha 10, karo na choo cha nje ,wire ring, kulipia umeme vyote tayari,
Mpaka hapo nimetumia abt 24M.
Ndugu nashauri usiogope,we anza,lkn hakikisha unatafta local fundi n wazuri,na garama zao ziko chini sana.
Sasa hivi Kazi hakuna so ukiwahitaji,weka fungu mezani,wambie anaeweza afanye kazi.
Cha muhimu,usimamie mwenyewe.
Usimuachie MTU akanunue material wala kusimamia,hapo utaibiwa.
UnaramaniUmejenga nyumba au banda mkuu? Banda ni aina ta jengo linalokua na vyumba vinavyoangaliana na korido ndefu inayotenganisha vyumba husika..je umejenga nyumba au banda mkuu?
Umejitahidi ila paa hukupata fundi mzuri na ramani yako ni ya kizamani mno.UNAONA HUYU MDAU CHINI, AMEKUBALIANA NA NILICHOMWAMBIA HUYO JAMAA NA KALETA USHAHIDI.
Unachosema ni sahihi. Mm nimefikia hapo kwa sh 19,450,000.
1 - ni usimamiaji wakati wa ujenzi, hapa komaa mwenyewe mara zote. Usipokuwa makini utamaliza boma la vyumba 3 naye fundi ana boma la vyuma 2,
2 - gharama za materials unaponunua navyo kama nondo, cement, kokoto, maji n.k,
3 - gharama za ufundi nazo hazipo constant na kusababisha kusiwe na uhalisia wa gharama za majenzi.
Kumbuka kwenye ujenzi wa wenye vipato vya kuunga unga mhimu kuwa na kiwanja na ramani ya nini unataka nyumba iwe, then ingia vitani. Issue ni kuwa unataka kujenga kwa mda mfupi au no limited time.
Nimeunga mkono mkuuu 100%Mkuu kupata hizo hesabu ni rahisi sana,ila kwa vile wewe ni kaka yangu nitakupa ushauri ufuatao,kwani kwa mpangilio wako wa bajeti kwa kutegemea taarifa finyu kama hizo,utapata ongezeko kubwa la thamani ya mradi.
1.lazima uwe na picha kamili ya unachokitaka hata kabla ya kuanza ujenzi i.e ramani yenye site plan,floor plan,views za sections,roofing,elevations,rear na front,3d views
2.ujue aina ya materials utazotumia i.e cement,mawe,aina za tofali,aina za vigae,aina za rangi,aina ya ceiling board,aina ya roofing sheet,aina za openings
3.chagua unataka mafundi wa ubora upi katika kila hatua ya ujenzi
4.muda gani utatumia kukamilisha ujenzi
Mkuu kwamba nyingi sana au chache san1074 tofari? Kwa msingi tu wa vyumba 3? Ur not serious
Umetumia akili kubwaaz mkuu mi naona ukiwa na muda unaweza hiyo nyumba yako umepiga hadi rangi au umeishia kwenye plasterKiongozi ulichosema ni sahihi kabisa. Nimemaliza nyumba ya vyumba 3 kimoja master jiko na stoo kwa 20mil. nimekomaa mwenyewe na fundi wa kawaida na tofari nilikodi machine nikafyatua mwenyewe.
Weka picha acha porojoKiongozi ulichosema ni sahihi kabisa. Nimemaliza nyumba ya vyumba 3 kimoja master jiko na stoo kwa 20mil. nimekomaa mwenyewe na fundi wa kawaida na tofari nilikodi machine nikafyatua mwenyewe.
Hii nyumba sio ya mln 30 unadanganya mkuu hakuna value for money hapoKama hii hapo ishakula 30M,
Ila nlichojifunza ni kuwa ujenzi wa nyumba unakatisha tamaa sana hasa kama hela yako ni ya kuunga unga.View attachment 862641View attachment 862642
Itakuwa unamaanisha kupangaN
Hao waliokuwa nwanakuktisha tamaa bado wanaishi nyumba za kuoanga
We UMESIKIA WAPIII dar na matofali ya kuchoma!??Ndio brother, kwani hayapatkan??
Hebu tuwe serious kdgo jmn...Sasa hapo 30 imeishaje ishaje?hapo budget yake ht 15 hazifiki.mambo masihara km haya ndo yanakatisha watu tamaaKama hii hapo ishakula 30M,
Ila nlichojifunza ni kuwa ujenzi wa nyumba unakatisha tamaa sana hasa kama hela yako ni ya kuunga unga.View attachment 862641View attachment 862642
Kwani wabongo huwajui kujifanya much know sheikh!!?kwa macho ya kawaida hapo hyo hela imetumika kununua nn?tena inaonekana iko mkoanii.tofali ya kuchoma haizid sh200.hyo hela umeenda kwenye cement,au mbao?akili ya kuambiwa changanya na yakoMkuu unambishia hadi mtu aliyetoa pesa yake mfukoni kufikia hapo..
Sasa hayo mengine hayakuhusuu.chamsingi mwamba yuko ndani kwakeUmejitahidi ila paa hukupata fundi mzuri na ramani yako ni ya kizamani mno.