Naomba kujua fursa zinazopatikana katika jiji la Mbeya

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
224
Points
250

je parle

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
224 250
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni kijana ninayesaka fursa kutoka mkoa wowote ule ili mkono uende kinywani.

Nimekuja kwenu leo kuuliza fursa zinazopatikana Mbeya ili niweze kuziendea.

Naombeni ushirikiano wenu watu wa Mbeya au mtu yeyote aliye na fursa ambayo tutaweza kufanya kwa pamoja na kutusua katika maisha haya ya awamu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,382,418
Members 526,380
Posts 33,828,104
Top