Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
1,635
2,000
GHARAMA ya kupanda ndege ni tofauti na yule MWENDAHUKO alikuwa anatumia magari 80, anagawa kodi zetu hovyo, anafukuza kazi watu hovyo, "AKAHATARISHA MAISHA YAKE KULE RUANGWA KWA SABABU ZA KISHIRIKINA, akawa muongo na akataka kutukuzwa. ACHENI HUYU MAMA APANDE NDEGE.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom