Naomba kujua Blue Band (tunayopaka kwenye Mkate) kwa Kiswahili inaitwaje?

Sio takataka mkuu,cha msingi angalia kiasi unachokula kiwe kidogo
Fats and oils ni sehemu muhimu sana ya lishe katika rika lolote
Sio hii ya kuweka kwenye mkate mkuu.Hii sio natural fat.It is extremely dangerous kuingiza an artificial agent into a natural system.Our body systems are natural.

Sisi wasomi tuko very ignorant on many issues pertaining to our health.Ni afadhali yule shangazi yangu anayeishi kule Kitinku ambaye day in and day out anakula mlenda kwa kuwa she can't afford to buy sausage,she is healthier.Hivi hatujui kwamba hii siagi inayoitwa "blue band"sio natural fat na kwamba ina so many additives ambazo ni dangerous to our health.My God, no wonder wasomi wengi tuna-perish kwa ma-cancer nk.Nani alitudanganya kwamba kuna kiwango cha sumu kinachokubalika.Stupid us!
 
Hahah sawa,bt relax mkuu,ukiwa so uptight utashindwa kula chochote, jiachieee vifo vinatujia kwa style nyingi si lazma cancer
 
Back
Top Bottom