plan z JF-Expert Member Jun 10, 2019 1,381 1,414 Mar 6, 2021 Thread starter #3 Mkaruka said: Zinapelekwa BoT Click to expand... Halafu baada ya hapo nini kinafuatia, au hazirudi kwenye mzunguko tena.
Mkaruka said: Zinapelekwa BoT Click to expand... Halafu baada ya hapo nini kinafuatia, au hazirudi kwenye mzunguko tena.
Mkaruka JF-Expert Member Feb 5, 2013 19,617 34,062 Mar 6, 2021 #4 plan z said: Halafu baada ya hapo nini kinafuatia, au hazirudi kwenye mzunguko tena. Click to expand... Wana print mpya na kuziweka kwenye mzunguko.
plan z said: Halafu baada ya hapo nini kinafuatia, au hazirudi kwenye mzunguko tena. Click to expand... Wana print mpya na kuziweka kwenye mzunguko.
plan z JF-Expert Member Jun 10, 2019 1,381 1,414 Mar 6, 2021 Thread starter #5 Mkaruka said: Wana print mpya na kuziweka kwenye mzunguko. Click to expand... Na je hizo za zamani zinatupwa?
Mkaruka said: Wana print mpya na kuziweka kwenye mzunguko. Click to expand... Na je hizo za zamani zinatupwa?
Mkaruka JF-Expert Member Feb 5, 2013 19,617 34,062 Mar 6, 2021 #6 plan z said: Na je hizo za zamani zinatupwa? Click to expand... Hapo sina hakika itakuwa labda hizo kuukuu ndizo zinazofanyiwa recycling. Maana kutengeneza hela ni gharama kubwa.
plan z said: Na je hizo za zamani zinatupwa? Click to expand... Hapo sina hakika itakuwa labda hizo kuukuu ndizo zinazofanyiwa recycling. Maana kutengeneza hela ni gharama kubwa.
plan z JF-Expert Member Jun 10, 2019 1,381 1,414 Mar 6, 2021 Thread starter #7 Mkaruka said: Hapo sina hakika itakuwa labda hizo kuukuu ndizo zinazofanyiwa recycling. Maana kutengeneza hela ni gharama kubwa. Click to expand... Ok sawa, shukrani
Mkaruka said: Hapo sina hakika itakuwa labda hizo kuukuu ndizo zinazofanyiwa recycling. Maana kutengeneza hela ni gharama kubwa. Click to expand... Ok sawa, shukrani
del moe JF-Expert Member Apr 4, 2016 827 1,023 Mar 6, 2021 #8 Chakavu zaidi huteketezwa.. Chakavu kiasi hurudishwa kwenye mzunguko
NAWATAFUNA JF-Expert Member Nov 14, 2019 13,286 24,002 Mar 6, 2021 #9 Kuna bank ukitoa mzigo unakutana tena na pesa nyeusi kama mkaa.