plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 899
- 1,000
Kama kichwa kinavyojieleza.
Ni kawaida sana unapopeleka fedha bank iwe chakavu au ya kawaida huwa wanazipokea. Ila unapotoa huwa unapokea fedha mpya kabisa.
Je, hizo fedha zingine ambazo sio mpya zinazoenda Bank huwa zinapelekwa wapi? Au kuna means yoyote za kuzifanya mpya?
Nawasilisha.