Naomba kujua bei ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka

shira739047

New Member
Jun 10, 2019
4
3
Nina mpango wa kuanza kulima mahindi mwakani ila nahitaji kununua mashine ya kusaga na kukoboa
Nikisha vuma nasafirisha Dar kwa ajili ya kutengeneza unga

Naomba kujua mwenye connection na mtaalamu wa hizi mashine
Ahsante
 
Nenda sido Dar Es salaam utapata maelekezo na bei.
Lakini pia watembelee wenye machines wanakosaga unga watakusaidia kupata maelezo ya aina zipi za machine zinafaa zaidi.
Kuanzia milioni NNE na kuendelea unaweza pata machine hizo zikitofautiana capacity na quality.
Asante
Nina mpango wa kuanza kulima mahindi mwakani ila nahitaji kununua mashine ya kusaga na kukoboa
Nkisha vuma nasafirisha dar kwa ajili ya kutengeneza unga
Naomba kujua mwenye connection na mtaalamu wa hizi mashine
Ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom