Naomba kujua App nzuri ya kuangalia movie online

steve emile

JF-Expert Member
Nov 22, 2020
216
567
App gani bora kuangalia movie online?


FB_IMG_1614721812370.jpg


Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kama una gb za kutosha tumia stremio, ina fetch toka torrent ipo playstore download plug-ins ya tpb inatosha.

Kwa mb za kati tumia Cinemahd, Tea TV na clone mbalimbali za terrarium

MB kidogo tembelea tu site za kizamani za simu za zamani kama o2tvseries
 
Hvi kwa mwezi ni bei gan mkuu
20,000 kwa 480p, 25,000 kwa full Hd na 30,000 kwa 4k.

Kuna subscription ya simu tu ambayo ni Around 7,000 imeanza baadhi ya nchi, soon itakuja na huku.

Kama hujali formalities zipo Pia trial Watu wanauza za mwezi mwezi, hizi hazifiki 5000.
 
Back
Top Bottom