Naomba kujua alipo Sauda Mwilima

Mm Nataka kujua alipo Rebecca mwilesi wa RFA na Agnes Robinson(mototo wa mama sabuni) nae pia alikuwa pale RFA.
Rebecca si ndo yule anatangaza kipindi cha ushauri wako siku za jumapili au?
 
Mimi nauliza Seki wa EATV yuko wapi? Aliondoka na jamaa wa ze comedy kwenda TBC ila sijui siku hizi yupo wapi.
 
Jacob Msungu ye alikua na kipindi cha Roving Dj,siku hizi ana kibanda/duka lake la kuuza/kutengeneza simu pale stand ya NATA-Mwanza.
 
Bado tupo nao hapa DC makori ame'base kwenye Focus On Africa na ndimyake Dada wa kizimbabwe mwenye unasaba na tz akiwa mmoja wa producers wa shakka ssali huwa nakutan nao sana dc
Yuko wap Ndimwake Mwakalyeye alikua anatangaza kipindi cha Africa 54 cha VOA pamoja na Vicent Makori....yuko wap???
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom