Dah huyu mzee Mnyiramba wa Kinampanda sijui kaenda wapi..kaka yake Ivone Msemembo kama sikosei.Mi naulizia mzee Albert Nitwa alikuwa akisoma habari pale ITV miaka ya 2013 kwa utulivu kabisa.
Naishi naye...unamtafutia nini?Hallo wana jf, yule mdada Nilimmandi kidizain alivokuwa star TV.
Sahiv yupo wap,? Kaacha utangazaji? Family anayo?
Daaah sikujuwa mkuu lini kaondoka jamani?Alifariki mkuu
Daa! huyu jamaa alinifanya nikawish siku Moja kuwa mtangazaji....Wapi Fatma Shemweta & Roy Maganga
Yupo wapi Roy kuhusu huyu kiumbe nadhani alikuja duniani kwa ajiri ya kuwa mtangazaji.... Jamaa anavocal sijapataga kuona.Chuma hicho Mkuu balaa shemweta
A.k.a mtt wa. Mama sabuniNa mimi nimuulizie yuko wapi Glory Robson mtoto alikuwa na saut nzuri sana.
Alishajaliwa mimba lkn inakuwa bahati mbaya wkt wa kuzaaBado yupo star TV aliolewaga mda ila hajaaliwa mtoto mpaka leo mimba mumewe alikuwa ni mtanzania anaeishi S.A
Alifariki kitambo kdgMie naomba kujuwa alipo Ezekiel Malongo
Huyu yuko TBCMi Naomba kujua alipo Sam Mahela..!
Alihamia TbcMi Naomba kujua alipo Sam Mahela..!
Yap walikuwa wanaendesha kipindi cha show time na mtu mzima kidbwayGlory Robinson kiss FM wakati huo alikuwa ana nibamba sanaa
Duuuh basi nijipe poleAlifariki kitambo kdg
Ni ndugu haoYupo mwingine naye alikuwa TBC zamani naye alikuwa mtangazaji akiitwa "Saida Mwilima" acha huyo wa star tv "Sauda Mwilima"--- huyo naye kapotelea wapi??
HahahhaKwaivo we ulikuwa na gari aina gani na fatma yake ilikuwa aiana gan, mlipaki pembeni au apo apo katikati ya barabara, ilo povu lilikuwa na sabuni gani, ariel, ckleesoft au omo au tufanye toss
Mm Nataka kujua alipo Rebecca mwilesi wa RFA na Glory Robinson(mototo wa mama sabuni) nae pia alikuwa pale RFA.
Atakuwa yupo BBC swahili au DW. Kuna uwezekano pia wakuwepo CCN Swahili.Hallo wana jf, yule mdada Nilimmandi kidizain alivokuwa star TV.
Sahiv yupo wap,? Kaacha utangazaji? Family anayo?
Roy yupo TBCWapi Fatma Shemweta & Roy Maganga
Miaka kama sikosei mitatu au minne iliyopoteaDaaah sikujuwa mkuu lini kaondoka jamani?