Huyu Fatma shemweta ni binti mmoja mrembo alikuwaga star tv au nimechanganya?Wapi Fatma Shemweta & Roy Maganga
Fatma shemweta niligombana nae mwanza maeneo ya Tanesco, aliomba kuingia barabarani kwa gari iliyokua mbele yangua. Mimi bila kujua Nika overtake like gari la mbele yang, ikawa chupuchupu nimgonge. Tukatoleana povu, maisha yakaendelea.Wapi Fatma Shemweta & Roy Maganga
Amekuwa Mlinzi nini!??Yupo TBC
Hapana... Labda TBC nyingine.Anarusha Habari
Hapo sawa...Labda kafukuzwa
Hallo wana jf, yule mdada Nilimmandi kidizain alivokuwa star TV.
Sahiv yupo wap,? Kaacha utangazaji? Family anayo?