Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

MNANSO

JF-Expert Member
Jul 18, 2015
2,399
2,000
Poleni wale walikuwa wanasubiri feedback ya mzigo wa vyombo nilipoteza huu uzi na nilikuwa sijui naupata vipi

Vyombo vilifika kwa mida ule ule kwa kuwa ilikuwa nimefungia tani ya watu wengi kuna watu walichelewa kulipia usafiri

Vyombo vimetoka na sasa vipo store kwetu mikocheni

View attachment 1971036
View attachment 1971037
View attachment 1971038
View attachment 1971039
View attachment 1971040
View attachment 1971041
Mabakuli makubwa shilingi ngapi kwa rejareja
 

Luvh

Member
May 8, 2021
52
125
Juml
Poleni wale walikuwa wanasubiri feedback ya mzigo wa vyombo nilipoteza huu uzi na nilikuwa sijui naupata vipi

Vyombo vilifika kwa mida ule ule kwa kuwa ilikuwa nimefungia tani ya watu wengi kuna watu walichelewa kulipia usafiri

Vyombo vimetoka na sasa vipo store kwetu mikocheni

View attachment 1971036
View attachment 1971037
View attachment 1971038
View attachment 1971039
View attachment 1971040
View attachment 1971041
Jumla Bei gan na kuanzia vingap,,au Kama una page ya biashara tupatie tuifollow mkuu
 

Trendz

Senior Member
Jun 27, 2021
111
250

Huyo ni moja kati ya wateja wangu walioagiza Tani 1 peke yao na hapo ndio anafungua mzigo.

c97cbdf7-2d6a-4d6c-a0c8-f87645bbc220.jpg

5789287f-23b9-4ebb-8f37-e30de347c285.jpg

1ac1e333-26bb-4ff1-b051-46a085475194.jpg
 

mapozzi

Member
Apr 16, 2015
44
95
Box 2 unaweza pata vyombo 80-100
Nina store mikocheni yaani ukiwa makumbusho unaweza kwenda kwa miguu tu.
Vyombo vikifika nitawaambia hapa kwa anayetaka atakuja either kununua au kuona
Ni mwezi wa 8 ndio vinafik

Mimi nafanya naagizisha direct China vya kupima kwa Tani ni mchanganyiko, niko navyo vipo njiani vinafika mwezi wa 8 naweza kukuuzia robo tani ukihitaji
Mkuu Ninaomba unitumie namba yako ya simu, ili tufanye biashara
 

faddy faddy

New Member
Sep 7, 2021
2
45
Habari Wana JF naombeni mnisaide kunipa mchanganuo wa biashara ya kuuza vyombo vya majumbani mtaji wake sehem vinavopqyikana kwa jumla na Bei zake
 

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
15,246
2,000
Hii biashara haitakiwi uwe una njaa sana; nunua mzigo na utawanye kwenye makazi ya watu, au kwenye taasisi mbalimbali, mfano waalimu,manesi n.k baada ya wiki,mwezi pitia makusanyo.
 

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
4,663
2,000
Kwa ufaham wangu mdogo, kama unamtaji wa 2.5M , tofauti na kodi ya pango , hapo utapata bidhaa zote za muhimu na duka litajaa vizuri tu ,
Vinapopatikana kwa jumla ,nenda kariakoo mtaa wa agrey na sikuu na agrey na living stone yapo maduka kibao wanauza vyombo jumla
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom