Kitendo cha MTU kutoka damu puanii ni sababu ipiiii inasababisha au madhara yake ni nini
Maana niko na mtu anatokwa na damuu nyingii alafu analia anajua anaweza kufaaa,
Ila watu wengine wameniambia kuwa sio Ugonjwa sasa naomba kujua zaidiiiiii
Asantee