Naomba kujifunza hili...

StudentTeacher

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
3,679
3,718
Salaam ndugu wana JF,

StudentTeacher nimewiwa nafsini mwangu kutaka kujua yafuatayo;

(a).Je,ule Ukoloni mamboleo
niliofundishwa shuleni bado upo?

(b) Kama bado upo je,unafanyikaje
hasa kwa nyakati hizi?

(c) Je,una manufaa yoyote kwa
mataifa yanayoendelea ikiwemo
Tanzania?(Kama manufaa yapo
naomba nitajie tafadhali)

(d) Je,ukoloni huo unakwamisha
maendeleo yetu?. Kama jibu ni
NDIYO,kivipi?

(e) Je,kama taifa tunaweza
kuutokomeza huo ukoloni
mamboleo?. Kama jibu ni
NDIYO,kivipi?

Ni hayo tu wandugu,

Asante
 
Back
Top Bottom