Naomba Kuijua Historia ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzani-UKWATA

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,105
5,629
Natumaini Mmeamka Salama.
Kwa Wale Wajuzi Naomba Kuelimishwa:
a)Chanzo cha UKWATA
b)Lini Ulianzishwa Umoja Huu
c)Lengo na Nia Yake
d)Katiba yake Kama Hipo
Natumaini Nitapata Msaada Zaidi Kutoka
 
ukwata imeanzishwa mwaka 1963 ikiwa ni ushirikiano wa awali Kati ya ashira na ilbolu. katiba ipo na lengo ni kuunganisha wanafunzi wakristo wote na waliochini ya CCT Yohana Kilimba
 
Back
Top Bottom